Je, Taoism ni uchawi? Je, unaweza kutumia Taoism kutabiri mambo ya mbeleni? Nitajaribu kukuelewesha

Kama huwezi kui define Tao, halafu unai define nature kwa muktadha wa Tao, huoni kwamba kutoweza kui define Tao kutakufanya ushindwe pia kui define nature?

Yani kuna namba x, hiyo ndiyo Tao. Hatujui thamani yake na wala hatuwezi kuiandika in full decimal.

Halafu tunaambiwa kwamba 0.5 x, ni y, y ni nature.

Halafu unaambiwa solve for y, usiseme y = 0.5x, nipe value of y in fully decimal numbers.

Uta solve vipi hapo?

Lazima ushindwe kwa style ya garbage in, garbage out.

If the Tao can't be defined, and nature is an integral part of tge Tao, then nature can't be defined.

If you can define nature, an integral part of the Tao, then you can define the Tao.

If you can define nature, yet you can't define the Tao, then nature is not such an integral part of the Tao.
Akili Kubwa sana
 
Nyumba inaeleweka, ina ndani na nje, kwa nini unafananisha nyumba inayoeleweka na Tao isiyoeleweka?

Huoni logical fallacy ya non sequitur hapo?

Huwezi kukaa kwenye empty space utakaa kwenye kiti, kochi, kitanda ambacho kitakuwa supported na floor ya nyumba.

Kama empty space ni nyumba, ondoa hizo kuta zote na floor ubaki na empty space halafu uelee kwenye empty space, useme upo katika nyumba.

Kama huwezi ku define Tao, huwezi ku define nature kwa muktadha wa Tao. Kwa sababu muktadha wako wa ku define nature, Tao, umekataa definition.

Kipi kigumu kueleweka hapo?
"Schrodinger's cat Hypothesis 🤣🤣🤣
 
"Kila kitu" ni nini kwanza?
Hapa sina Definition ya uhakika zaidi.

Binafsi labda niseme "Kila kitu" ni mambo yote yaliyomo duniani na chochote kilichopo kwenye universe.
Maana hatuwezi kujua kama kuna nguvu inayo control "kila kitu" kama hata hatujajua tunamaanisha nini tunaposema "kila kitu".
Hapa duniani kuna baadhi ya mambo hutokea ambayo sisi kama binadamu tunashindwa kuyadhibiti yasitokee.

Na mfano wa mambo haya ni kama majanga ya asili.

Sasa kinacho nitatiza, Je kuna nguvu yeyote au nguvu zozote zilizo nje ya uwezo wetu zinazo control mambo mengi zaidi yetu?

Je nguvu hizi ziliwezaje kutushinda sisi binadamu hadi hatuwezi kuzi control?

Kwa nini inalazimika sisi binadamu kufuata namna nguvu hizi zinavyo fanya kazi?

Kwa nini hatuwezi kwenda kinyume na nguvu hizi?
Kila kitu ni nini na tunajuaje hicho ni kila kitu kama hatujajua vitu vingi sana na bado tunajifunza?

Pia, kwa nini tunaongelea "nguvu inayo" kama tusha conclude ni moja tu? Tunajuaje ni nguvu moja na si nyingi tofauti?

Wanafizikia mpaka sasa wamegundua the weak nuclear force, the strong nuclear force, electromagnetism na gravity. Jitihada zote za kuziunganisha hizi forces zote ziwe moja kwa kutengeneza The Grand Unified Theory zimeshindwa, na wanasayansi wengine wamehoji dhana nzima ya kuwapo kwa Grand Unified Theory.

Sabine Hossenfelder kaongelea hili hapa.

Je kuna uwezekano wa sisi binadamu kuzishinda nguvu hizi na kwenda kinyume na nguvu hizi jinsi zilivyo?

Mfano je kuna uwezekano wa binadamu kufanya mchana uendelee kuwa mchana na kudhibiti usiku usiingie?

Na kufanya chochote tujisikiacho bila kufuata taratibu za nguvu hizi?
 
Habari Kiranga
Mimi sio mtalaam sana wa Quantum Physics au Quantum Mechanics ila huwa kila siku najitahidi kujifunza kwa sababu nahisi ndo kuna majibu mengi yamejificha huko kwanini wanaofanya vitu wanafanya wanayoamua kufanya!..

Kuna kitu kimoja umezungumzia kime-trigger ..
My DLPFC (Dorsolateral prefrontal cortex) brain Part na nimeona nikushurikishe kama utanipa maelezo zaidi..
Umezungumzia Swala la Photons na image preview au production..

(Nita paraphrasing ulichosema na utanirekebisha kama nitakosea kuna some information nimeziongeza kutokana na uelewa kidogo)

"Kwamba ili image iweze Kuonekana,Lazima Photons from the objects,leaves the objects na inaingia kwenye camera through lens na lens inaifocus Hiyo "Photons" through the image sensor ("Pixels"),Na ikikutana na Hizo pixels ndo hutengeneza Electrical Signal na the camera Inaprocess hiyo signal kuwa digital Image...."

Sasa nina maswali kadhaa..
  • Photons ni particles smallest kuliko hata Atom nafikiri Na hucarry Energy (Japo inategemea na wingi wake) and if so hiyo haimaanishi kwamba tunaweza kupoteza Energy kadhaa kwa kupiga Picha (Japo inaweza isiwe kwa kiwango kikubwa?
  • Kama wingi wa Photons unaweza kuwa determined na lens...So lens zenye ukubwa huweza kuchukua energy kubwa kuliko zingine?
  • And if so Nini kifanyika (Hata kama energy ni ndogo) maana kidogo kidogo hukamilisha kibaba..?

Nategemea majiby yako mkuu!
CC: Kiranga
1. Ni kweli. Lakini pia tuna gain zinazotufikia kutokanm kwenye jua, taa, mwezi, nyota, etcso it is a constant flux. And the amount is really negligible, I was more about making a philosophical point on the impossibility of measuring everything with perfect accuracy.

2. Ni kweli. Na hivyo ndivyo wanavyofanya kwenye astronomical observatories kama za Chike, Hawaii, Mount Wilson na hata tge space based kama Hubble na James Webb. The bigger the lens, the better the image kwa sababu kens kubwa ina uwezo wa kukusanya mwanga zaidi.

3. We emit radiation and photons anyway. Whether our photo is taken or not. The difference is, when our photo is taken, the photons are captured by the cameras lens, otherwise they just bounce of a wall or s9me other surface. My point was, it is hard to capture a person as that person really is at any instant, as the act of capturing the image (measuring) interfwres with what is being captured (the measured).
 
Mkuu, tatizo unatoka nje ya mada na unachanganya mambo.

Taoism imekuwepo na ndio ikaja kutumiwa kutengeneza mambo kama Tai Chi Chuan ambayo wanafupisha na kuita Tai Chi. Na mwanzo Tai Chi ilikua ni kama form ya meditation inayohusisha movement. Ikawa upgraded kuwa defense skill

Sasa Tai Chi hio hio ikaendelea kuwa modified na ikazaa aina tatu ambazo ni Yang, Wu na Chen. Na form ya Yang ndio inayoendelezwa sana na imetapakaa sehemu nyingi hapa duniani.

Tusipayuke maneno bila kuwa na knowledge. Kasome kitabu kinaitwa "The TAO OF TAI CHI CHUAN, THE WAY TO REJUVENATION" Kisha urudi hapa tuongee vizuri sababu humo ndani ndipo utapata chimbuko la Tai Chi na utaona uhusiano wa tai chi na taoism.

View attachment 2887689
Mkuu huo mchoro una maana gani hapo?
 
1. Ni kweli. Lakini pia tuna gain zinazotufikia kutokanm kwenye jua, taa, mwezi, nyota, etcso it is a constant flux. And the amount is really negligible, I was more about making a philosophical point on the impossibility of measuring everything with perfect accuracy.

2. Ni kweli. Na hivyo ndivyo wanavyofanya kwenye astronomical observatories kama za Chike, Hawaii, Mount Wilson na hata tge space based kama Hubble na James Webb. The bigger the lens, the better the image kwa sababu kens kubwa ina uwezo wa kukusanya mwanga zaidi.

3. We emit radiation and photons anyway. Whether our photo is taken or not. The difference is, when our photo is taken, the photons are captured by the cameras lens, otherwise they just bounce of a wall or s9me other surface. My point was, it is hard to capture a person as that person really is at any instant, as the act of capturing the image (measuring) interfwres with what is being captured (the measured).
I know, Ulikuwa unataka Kujustify kuhusu Measurements but Nilikuwa capture na interested in Photons na ndo maana nikaulza vingine vyote nilikuwa niko aware navyo na ndo maana sikuuliza..

So Additional Questions..
  • Point number 2 Brought alot Of QN Tena kwangu..So in those Telescopic Activities, Including satelite Capturing,Satelite imaging are they not capture alot of Energy from us?..
  • Najua tunanEmmit radiation (Infrared,Electromagnet na zingine)..Ila hatuoni kwamba harvesting ikiwa kubwa huenda inaweza kusababisha kutokwa na nyingi na kudisrupt the Frequency and wavelength as Ilivyokuwa Before the introduction ya hivyo vitu? (Nawaza tu "Ndo maana zaman walikuwa hawana magonjwa mengi kuliko Sasa cuz of Frequency disruptions)
 
Hapa sina Definition ya uhakika zaidi.

Binafsi labda niseme "Kila kitu" ni mambo yote yaliyomo duniani na chochote kilichopo kwenye universe.

Hapa duniani kuna baadhi ya mambo hutokea ambayo sisi kama binadamu tunashindwa kuyadhibiti yasitokee.

Na mfano wa mambo haya ni kama majanga ya asili.

Sasa kinacho nitatiza, Je kuna nguvu yeyote au nguvu zozote zilizo nje ya uwezo wetu zinazo control mambo mengi zaidi yetu?

Je nguvu hizi ziliwezaje kutushinda sisi binadamu hadi hatuwezi kuzi control?

Kwa nini inalazimika sisi binadamu kufuata namna nguvu hizi zinavyo fanya kazi?

Kwa nini hatuwezi kwenda kinyume na nguvu hizi?

Je kuna uwezekano wa sisi binadamu kuzishinda nguvu hizi na kwenda kinyume na nguvu hizi jinsi zilivyo?

Mfano je kuna uwezekano wa binadamu kufanya mchana uendelee kuwa mchana na kudhibiti usiku usiingie?

Na kufanya chochote tujisikiacho bila kufuata taratibu za nguvu hizi?
Kwanza kabisa una maswali mazuri.

Binafsi ningependa kuachana na habari za "kila kitu". Hususan unapozidi kupanua wigo kwenda kwenye universe huko. Kuanza kuongelea "kila kitu" wakati kuna mambo mengi sana hatuyaelewi, ma singularity ya black holes yanafanya kazi vipi, ma worm holes yapo kweli au ni hesabu tu, dark energy inasababishwa na nini, dark matter ni nini, ulimwengu unavyo exoand utaendelea ku expand au utaacha, kwa nini?Tunayojua ni machache, tusiyojua ni mengi. Kwa hivyo naona kuongelea "kila kitu" ni kujimwambafy kwa hubris.

Yani hata huo ulimwengu unaousema, jina sahihi ni "the observable universe", kuna sehemu kubwa sana ya ulimwengu hata hatuwezi kuiona, na hatutaiona kamwe, kwa sababu expansion ya universe kati ya huko nabhuku ni kubwa kulikonspeed ya mwanga, kwa hivyo mwanga wa huko, electromagnetic waves za huko, habari zozoye za huko "unobservabke universe" haziwezi kutufikia kamwe, kwa mujibu wa fizikia tunayoijua leo.

Kwa nini tusianze kuongelea "vitu tunavyovijua" halafu polepole tuka branch out kuongeza wigo kadiri tunavyoongeza ujuzi? This way tutapunguza philosophizing na speculation, na tutajikita kwenye solid science zaidi.

Kuhusu maswali yako, nguvu kuu za kimsingi zipo nne. Gravity, electromagnetism. Strong nuclear force. Weak nuclear force. Pia kwenye karge scale kuna dark energy ambayo wana speculate kuwa ni the energy if space itself.

Kwa nini nguvu nyingine za asili zimetushinda kuzi control? Tunahitaji muda mrefu sana wa kusoma na ku experiment na kufanya research and development. Na hata hapo nina suspect kuna vitu vingine vina natural limit. Mfano, kwa Einstein's Relativity, kitu chochote chenye mass hakiwezi kurudi nyuma katika muda, hata ki atom kimoja, kikiwa na mass tu, kurudi nyuma katika muda inabidi kipite speed of light, na kadiri kinavyokaribia speed of light ndivyo mass yake inavyozidi kuongezeka na kukaribia infinity mass, which needs infinity energy to move it anywhere at any speed. Which means evennif you use the mass of the enyire universe as your energy source, you can't move one massive hydrogen atom a Planc Scale of length at the speed of light (as opposed to yhe usual room temperature speed if 1500 m/s).

So, going back in time seems out if the question. At keast according to Einstein's Relativity.

Ni muhimu kuelewa kuwa, complex tech ya kuweza ku control nguvu za asili inachukua muda. Watu kuwa na ubongo tulionao tu tumeupata just about 300,000 years ago, which is not very far ago.

Tumejitahidi ku control hizi forces. Gravity tumeiweza, tumerusha ndege hewani na roketi mpaka zimetoka kwenye solar system (Voyager 1).

Electromagnetism ndiyo huu umeme tunautumia kwenye vyombo vyote vya umeme.

Strong nuclear force tumecheza nayo kwenye nuclear power plants na nuclear weapons.

Weak nuclear force nuclear reacyors and MRI machines.

Kuna uwezekano wa kufanya mchana kuwa mchana na usiku usiingie?

Wachina washaanza kazi ya kutengeneza prototyoe ya artificial sun kwa sababu ya kuwapa energy, wamejipa goal kumaliza by 2035. Its not going to be as full of energy as the sun, but its a start.

In a way tulivyoanza kutengeneza taa za umeme tulianza hii safari ya kubadiki usiku kuwa mchana, kilichobaki ni ku scake up tu na kubotmresha teknolojia.

But do you really want to live in a world that has no night?

Kufanya chochite tujisikiacho is a complex proposition, kwa sababu kila mtu anajisikia vyake, na kutakuwa na sheria na miongozo kukataza vitu kama human cloning na vitu kama hivyo.
 
Basi hukunielewa toka mwanzo.

Niliposemea Nguvu kuu pia nimesemea mafundisho (rejea uzi wangu) na kupitia hayo mafundisho ndipo mtu ana-master yanayofundishwa kupitia practice. Same as meditation, practice practice...

Ukisoma bandiko langu kwa utulivu toka mwanzo utaelewa.
Ni kweli ulisema kuhusu mafundisho

Lakini sehemu ya "nguvu kuu" ndio ambayo inanitatiza mimi hapo.

Hoja yangu ni kwamba, kama kuna mtu anafanya kitu kisichohusiana na Taoisim halafu akapata outcome inayofanana na Taoisim je nayo utasema "nguvu kuu" ilihusika?

Kama kupitia Taoisim mtu anaweza kujua next moves na hiyo mechanism wewe umedai inahusisha mafunzo pamoja na "nguvu kuu " sasa vipi mtu mwingine anayeweza kubashiri next moves nje ya mfumo wa Taoisim huyu naye utamuelezeaje?

Kwa point hiyo huoni kama "nguvu kuu" imekuja kuchukua credit ambazo haistahili?
 
I know, Ulikuwa unataka Kujustify kuhusu Measurements but Nilikuwa capture na interested in Photons na ndo maana nikaulza vingine vyote nilikuwa niko aware navyo na ndo maana sikuuliza..

So Additional Questions..
  • Point number 2 Brought alot Of QN Tena kwangu..So in those Telescopic Activities, Including satelite Capturing,Satelite imaging are they not capture alot of Energy from us?..
  • Najua tunanEmmit radiation (Infrared,Electromagnet na zingine)..Ila hatuoni kwamba harvesting ikiwa kubwa huenda inaweza kusababisha kutokwa na nyingi na kudisrupt the Frequency and wavelength as Ilivyokuwa Before the introduction ya hivyo vitu? (Nawaza tu "Ndo maana zaman walikuwa hawana magonjwa mengi kuliko Sasa cuz of Frequency disruptions)
It is hugely negligible.I would be worried about the effects of x-ray and ultraviolet rays exposure, and especially nowadays, pollution and microplastics, than photon capture.
 
Waliofanya ndege [emoji928] ikaruka angani hawaku overcome Nature?

Kwa miaka hiyo ya nyuma ilikuwa ngumu kuunda chombo kikaruka angani.

Wagunduzi hao bila kufanya tafiti wangeishia kusema tu "Hatuwezi kwenda kinyume na Nature" wangeweza kweli kufanya ndege iruke angani?

Unajuaje hauwezi kwenda kinyume na Nature na si ukosefu wako wa maarifa unao kufanya uishie kusema nature! nature! nature?

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Wagunduzi wa ndege hawakupingana na nature walitazama nature ya ndege mnyama wakajifunza kanuni zake kupitia majaribio mbalimbali wakafaulu
 
Ni kweli ulisema kuhusu mafundisho

Lakini sehemu ya "nguvu kuu" ndio ambayo inanitatiza mimi hapo.

Hoja yangu ni kwamba, kama kuna mtu anafanya kitu kisichohusiana na Taoisim halafu akapata outcome inayofanana na Taoisim je nayo utasema "nguvu kuu" ilihusika?

Kama kupitia Taoisim mtu anaweza kujua next moves na hiyo mechanism wewe umedai inahusisha mafunzo pamoja na "nguvu kuu " sasa vipi mtu mwingine anayeweza kubashiri next moves nje ya mfumo wa Taoisim huyu naye utamuelezeaje?

Kwa point hiyo huoni kama "nguvu kuu" imekuja kuchukua credit ambazo haistahili?
Taonism nj elimi ya China lakini kila jamii ina namna yake ya kuitafsiri hio nguvu kuu.
 
Kwanza kabisa una maswali mazuri.

Binafsi ningependa kuachana na habari za "kila kitu". Hususan unapozidi kupanua wigo kwenda kwenye universe huko. Kuanza kuongelea "kila kitu" wakati kuna mambo mengi sana hatuyaelewi, ma singularity ya black holes yanafanya kazi vipi, ma worm holes yapo kweli au ni hesabu tu, dark energy inasababishwa na nini, dark matter ni nini, ulimwengu unavyo exoand utaendelea ku expand au utaacha, kwa nini?Tunayojua ni machache, tusiyojua ni mengi. Kwa hivyo naona kuongelea "kila kitu" ni kujimwambafy kwa hubris.

Yani hata huo ulimwengu unaousema, jina sahihi ni "the observable universe", kuna sehemu kubwa sana ya ulimwengu hata hatuwezi kuiona, na hatutaiona kamwe, kwa sababu expansion ya universe kati ya huko nabhuku ni kubwa kulikonspeed ya mwanga, kwa hivyo mwanga wa huko, electromagnetic waves za huko, habari zozoye za huko "unobservabke universe" haziwezi kutufikia kamwe, kwa mujibu wa fizikia tunayoijua leo.

Kwa nini tusianze kuongelea "vitu tunavyovijua" halafu polepole tuka branch out kuongeza wigo kadiri tunavyoongeza ujuzi? This way tutapunguza philosophizing na speculation, na tutajikita kwenye solid science zaidi.

Kuhusu maswali yako, nguvu kuu za kimsingi zipo nne. Gravity, electromagnetism. Strong nuclear force. Weak nuclear force. Pia kwenye karge scale kuna dark energy ambayo wana speculate kuwa ni the energy if space itself.

Kwa nini nguvu nyingine za asili zimetushinda kuzi control? Tunahitaji muda mrefu sana wa kusoma na ku experiment na kufanya research and development. Na hata hapo nina suspect kuna vitu vingine vina natural limit. Mfano, kwa Einstein's Relativity, kitu chochote chenye mass hakiwezi kurudi nyuma katika muda, hata ki atom kimoja, kikiwa na mass tu, kurudi nyuma katika muda inabidi kipite speed of light, na kadiri kinavyokaribia speed of light ndivyo mass yake inavyozidi kuongezeka na kukaribia infinity mass, which needs infinity energy to move it anywhere at any speed. Which means evennif you use the mass of the enyire universe as your energy source, you can't move one massive hydrogen atom a Planc Scale of length at the speed of light (as opposed to yhe usual room temperature speed if 1500 m/s).

So, going back in time seems out if the question. At keast according to Einstein's Relativity.

Ni muhimu kuelewa kuwa, complex tech ya kuweza ku control nguvu za asili inachukua muda. Watu kuwa na ubongo tulionao tu tumeupata just about 300,000 years ago, which is not very far ago.

Tumejitahidi ku control hizi forces. Gravity tumeiweza, tumerusha ndege hewani na roketi mpaka zimetoka kwenye solar system (Voyager 1).

Electromagnetism ndiyo huu umeme tunautumia kwenye vyombo vyote vya umeme.

Strong nuclear force tumecheza nayo kwenye nuclear power plants na nuclear weapons.

Weak nuclear force nuclear reacyors and MRI machines.

Kuna uwezekano wa kufanya mchana kuwa mchana na usiku usiingie?

Wachina washaanza kazi ya kutengeneza prototyoe ya artificial sun kwa sababu ya kuwapa energy, wamejipa goal kumaliza by 2035. Its not going to be as full of energy as the sun, but its a start.

In a way tulivyoanza kutengeneza taa za umeme tulianza hii safari ya kubadiki usiku kuwa mchana, kilichobaki ni ku scake up tu na kubotmresha teknolojia.

But do you really want to live in a world that has no night?

Kufanya chochite tujisikiacho is a complex proposition, kwa sababu kila mtu anajisikia vyake, na kutakuwa na sheria na miongozo kukataza vitu kama human cloning na vitu kama hivyo.
Je kwa siku za mbeleni uwezekano wa binadamu kuja ku control nguvu zote hizi nne za gravity, eletromagnetism, strong nuclear force na weak nuclear force upo?

Pia je uwezekano wa kung'amua yaliyopo kwenye "unobservable universe" upo?

Kama kuna "Unobservable universe" huenda kuna viumbe wengine Unobservable creatures, Wenye uwezo zaidi yetu binadamu tuliopo kwenye observable universe?

Je akili na bongo zetu zipo limited kung'amua yaliyopo kwenye unobservable universe?

Kwa nini tushindwe kung'amua yaliyopo kwenye unobservable universe?

Kinachofanya vitu viwe na natural limit ni nini?

Pia kinachofanya sisi binadamu tushindwe kujua yote na kuweza kung'amua Unobservable universe ni nini?

Je kuna kitu kina Limit Bongo zetu kujua yote na kinatufanya tujue machache tu?

Kwa nini binadamu hatujui yote?

Je kuna kitu kina tufanya tushindwe kujua yote?
 
Hahahahahaaaa, una safari ndefu sana ya kujifunza. Anyway, ngoja nikusaidie kwa manufaa ya watakaosoma huu uzi.

Kuna kwenda kinyume na nature na kuna kuielewa nature inataka nn na kuitumia kukidhi mahitaji yako.

Kukabiliana na radi (mfano wako wa kwanza) kwa kuizuia isitokee ni kwenda kinyume na nature. Lakini kutumia conductor kunyonya umeme wa radi na kuutupia aridhini au kuutunza kwa matumizj ya baadae huko ni kuielewa nature inataka nn na kuitumia(ku-take advantage of nature)

Mfano wako wa ndege, wataalam walikaa wakaona ili kufanya pipa lielee hewani inabidi tutengeneze bouyancy, ndipo wale brothers watatu wakatengeneza helikopta na ndo ikawa mwanzo wa technology za ndege. Walielewa nature inataka nn, na wakaitumia.

Tatizo hilohilo ndilo lililofanya baadhi ya jamii na watu kutoendelea kwani wanashindwa kutambua nature ya mazingira yao na ku-take advantage.

Kaa, tulia, jifunze.
Huyo jamaa anachojuaga ni kupinga ana room ndogo sana ya kujifunza in short ni mjinga sana
 
Do not try to prolong this discussion and deviate from the main topic.

Nimedefine Nature from a taoist perspective sababu ndio context iliopo mezani. Wewe ukiidefine kwa context nyingine hatutofikia suluhisho kamwe. Sababu mti ninaouona mimi kama mbao kwa kuwa mm ni selemala, wewe utauona kama kuni kwa kuwa wewe ni mpishi.

Kama uko tyr kuelewa tafsiri yangu ya Nature, leta hoja yako nitakujibu. Lakini kama unalazimisha kuleta maana tofauti ya Nature (from another perspective), sitoweza kukujibu sababu ni nje ya ninachotaka kuongelea hapa.
Naye huyo anaujuaji na anapenda ligi za kitoto sana
Kamwe hatakaa akuelewa
 
Back
Top Bottom