Je, Taoism ni uchawi? Je, unaweza kutumia Taoism kutabiri mambo ya mbeleni? Nitajaribu kukuelewesha

Unalifahamu BAO la Lete lile la kiswahili !?? .... HALINA finite moves kabisaaaa.... Na katika michezo mkikutana wakali hata chess inasubiri mnaweza kucheza siku nzima .... Mfano wako wa Tai Chi hata humo unakaa.... Je Kwa tuliocheza michezo ya kijihami kama Sholinji , Tae Kwon Do...hatuna uwezo wa kupredict moves za adui kama hao wa Tai Chi!??.....
 
Mwaka 7500 ya Nini mbali kote huko ... Atabiri tu matukio ya kesho tu .... Duniani...matano makubwa tuone hiyo Taoism yake inavyoenda na nature....
 
Ngoja nikatafute na kashata kabisa hii chai yako Bado ya Moto...
 
Kiranga na meditation wapi na wapi wakati akili yake kaifungia kwenye only five senses kama Tomaso lazima aone,anuse,aguse kitu ndipo athibitishe.
Wakati elimu zimejaa tele za kufungua codes za yaliyojificha
 
Mkuu nimejaribu kukisoma kitabu naona sikielewi nafeli wapi
 
Kitabu kinaitwaje? Kinapatikana wapi?
 
Uchawi ni elimu ya Siri ya kujificha iliyobeba nguvu ya uharibifu ili kudhuru watu,vitu,wanyama,mali nk.
Uchawi umegawanyika makundi matatu ambayo ni black magic,white magic na red magic.Kuna uchawi wa faida na pana uchawi wa hasara.
Mkuu una madini bongo dili uchawi wa faida ukoje huo?
 
Chochote atakacho kifanya binadamu ni nature pia kwa sababu ata binadamu ni sehemu ya nature pia , najaribu mkuu nirudi zangu jukwaa la kupenzika huku nimepotea njia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Tatzo haya mambo mnataka kuyafanya kama ya kidini kuwaaminisha watu kwa maneno tu , hizi ni safari za mtu binafsi na mtu binafsi ndio anaweza kuthibitisha peke yake .
 
Tupo kuelimisha Taifa lililopotezwa na warumi Mkuu ndo Jukumu letu tulilopewa kuja Duniani Tena..
Kwa reincarnation hii..
Jukumu la Kusafisha Na kuwapa watu wokovu halisi πŸ˜€πŸ˜€
🀣🀣 sawa mkuu
 
Chochote atakacho kifanya binadamu ni nature pia kwa sababu ata binadamu ni sehemu ya nature pia , najaribu mkuu nirudi zangu jukwaa la kupenzika huku nimepotea njia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwenye nature hiyohiyo binadamu ni kiumbe mwenye uwezo na fikra zaidi.

Lakini kuna baadhi ya mambo kwenye nature hiyohiyo binadamu hawezi kuyafanya, ilhali yeye ndiye kiumbe mwenye uwezo zaidi.

Nachojiuliza, Binadamu anashindwaje kufanya na ku control mambo yote kwenye nature yote?

Kwenye nature kuna nguvu zilizo na uwezo zaidi ya mwanadamu.

Je nguvu hizi ziliwezaje kutushinda sisi binadamu?

Kama binadamu ndie mwenye uwezo na fikra zaidi kwenye nature na observable universe ila kuna baadhi ya mambo yanamshinda binadamu,

Pengine kuna viumbe wengine "Unobservable creatures" Wenye uwezo zaidi ya binadamu kwenye unobservable universe.
 
mkuu sidhani kama binadamu amefikia ata 1/ 3 ya kuujua ulimwengu wake tu achilia mbali hizo ulimwengu nyingne zinazosadikika zipo .

Kadri miaka na vizazi vinavyozidi kwenda technology inazidi kukua . Huenda huko mbeleni binadamu akafanikiwa kufanya mengi zaidi yaliyoshindikana kipindi hiki ili kuboresha maisha yake zaidi.

Kwenye maendeleo ya sayansi na teknologia hatuwezi kuweka limitation , kwa sababu kila kipindi binadamu anaimarika zaidi na kuzidi kuvumbua mapya

Huwenda ata badae kizazi kingine kikashangaa tulishindwaje kukabiliana na kifo.

Mtu wa miaka ya 800 bc akija sasa ata shangaa sna namna gani ukoma sio tishio tena.
 
Unajuaje huu uchawi na huu si uchawi ila ni kitu sijakijua vizuri tu?

Hujajibu swali hili.
Hili suala ni pana sana. Dininzote zinahubiri kuwa na Imani hivyo hivyo na wachawi pia wanaamini katika Imani mwisho wa siku wote wanategemea nguvu Moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…