Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Mapema sana kamarade....Ngoja nichomeke neti kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapema sana kamarade....Ngoja nichomeke neti kwanza
Unalifahamu BAO la Lete lile la kiswahili !?? .... HALINA finite moves kabisaaaa.... Na katika michezo mkikutana wakali hata chess inasubiri mnaweza kucheza siku nzima .... Mfano wako wa Tai Chi hata humo unakaa.... Je Kwa tuliocheza michezo ya kijihami kama Sholinji , Tae Kwon Do...hatuna uwezo wa kupredict moves za adui kama hao wa Tai Chi!??.....Okay.. vizuri. Lakini ngoja nikueleweshe.
Kwanza mfano wa Draft ni irrelevant hapa coz ina finite moves, lkn universe haina finite moves. Labda ungesema chess au go, na zote zisingelezea ninachomaanisha
Tai Chi inaunganisha Biomechanics, breathing, human physiology, etc... kujua mtu akijikunja vp basi ana uwezekano wa kufanya nn.
Sasa Taoism imekusanya kila kitu kwenye huu ulimwengu na kukupa Guiding principles, kumbuka Tai Chi ni part tu ya Taoism.
Ninachoona wewe umefocus zaidi na mifano niliotoa badala ya elimu ninayotoa. Focus kwenye elimu ninayotoa.
Mwaka 7500 ya Nini mbali kote huko ... Atabiri tu matukio ya kesho tu .... Duniani...matano makubwa tuone hiyo Taoism yake inavyoenda na nature....Nikikwambia utumie hiyo Taoism unitabirie exactly mwaka 7500 jinsi utakavyokuwa na mambo yatakayo kuwepo kwa mwaka huo unaweza?
Kama haiwezekani, Je Hiyo Taoism inabashiri nini mambo ya mbeleni?
Au inafanya bahati nasibu tu kutabiri kama ilivyo Kubet...
Kwamba Taoism hiyo haijui exactly nini kitakuwepo mwaka 7500 ila ina otea otea tu?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ngoja nikatafute na kashata kabisa hii chai yako Bado ya Moto...Okay. Nitakujibu kwa context ya Taoism, sababu kila mtu anaweza kuja na context yake then tukatengeneze debate ndeeeefu isio na ulazima.
"
In Taoism, nature is viewed as an integral part of the Tao, which is the fundamental force that flows through all things. Taoists emphasize harmony with nature, embracing the natural way of things without trying to control or dominate. Nature is seen as a source of wisdom, and observing its patterns and cycles can guide individuals in living a balanced and fulfilling life according to the principles of the Tao.
"
Nadhan nimekujibu.
Wewe umefanya nini kabla ya kumuuliza mwenzako!?? Labda Kuna jambo umetufanyia kama nchi....Umefanya nini kwenye world of science
Kwa sababu unatumia nguvu ya kubisha ili ushinde na sio hoja
Umefanya kosa ganiNaomba mniroge nipo Mwanza...mnitumie hayo manuizi yenu...
Kiranga na meditation wapi na wapi wakati akili yake kaifungia kwenye only five senses kama Tomaso lazima aone,anuse,aguse kitu ndipo athibitishe.Nimesoma sana uzi huu na comments kibao sana.zaidi kiranga akiwa mpinzani wamada hii kwakutaka mtoa mada atoe ushahidi wamambo ambayo ukweli ningumu kuyathibitisha kwaanavo taka yeye kiranga..kitu ambacho kinaleta mjadala mkubwa sana.
Unambana mtu mfano aeleze vizuri ndani yajua kuna nini,nakwakila kitu.nakama akishindwa basi umwambie sasa kwakua hujui chochote basi jua lenyewe halipo.sasa ikiwa hivi utakua huna akili hata kidogo sababu kila mtu anatambua jua lipo lakini nahajui chochote kuhusu undani wajua lenyewe.
Kitabu kinaitwaje? Kinapatikana wapi?I can agree with you.
I havent been so deep into TAOISM, lakn firsst time i knew about it n kwenye kitabu fulani kinachohusu mambo ya mapenzi.
In this book walikua wanaelezea taoist methodologies on how to have multiple orgasms bila ku ejaculate n.k. ni mambo kibao.
But waliongelea this "energy" and how to channel it in the human body kwa ajili ya kupata faida lukuki.
Good thing ni kwamba it really works, but it takes time and a lot of practice.
Taoist monks walikua na vast information on different matters and one thing i love about it n kwamba hakuna kitu chochote kinachofanania na ushirikina.
I think as human beings, tuna a very great potential but we know so little about ourselves (though kienyeji tunahisi tunajua), but ukiweza kuingia deep and unlock the secrets of the human body and mind you might be amazed at how great we are.
Wengi hatuongezi maarifa kwa kusoma vitu tofaut so we kinda live in the matrix of existence but we dont really exist.
In JF kuna watu wengi ambao wanaenda deep to gather knowledge abt different matterS, e.g Kiranga , lakini ukiangalia wengi hua wanapinga without justification maana wengi hawana knowledge.
Kongole kwako kali linux on this. I remember uzi wako about psychedellic mushrooms, that was dope too.
Tuzidi kujifunza.
Mkuu una madini bongo dili uchawi wa faida ukoje huo?Uchawi ni elimu ya Siri ya kujificha iliyobeba nguvu ya uharibifu ili kudhuru watu,vitu,wanyama,mali nk.
Uchawi umegawanyika makundi matatu ambayo ni black magic,white magic na red magic.Kuna uchawi wa faida na pana uchawi wa hasara.
Chochote atakacho kifanya binadamu ni nature pia kwa sababu ata binadamu ni sehemu ya nature pia , najaribu mkuu nirudi zangu jukwaa la kupenzika huku nimepotea njia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa nini unadhani binadamu hawezi kwenda kinyume na Nature?
Kinachofanya binadamu ashindwe kwenda kinyume na Nature ni nini?
Kwa nini nature imzidi binadamu?
Nachojaribu kufikiri mimi ni kwamba Inakuwaje nature imzidi binadamu.
Nature hii iliwezaje kumzidi binadamu?
Nataka kujifunza pia.
Tatzo haya mambo mnataka kuyafanya kama ya kidini kuwaaminisha watu kwa maneno tu , hizi ni safari za mtu binafsi na mtu binafsi ndio anaweza kuthibitisha peke yake .Mtoa mada unaonesha wewe tayari umeshafungua ulimwengu wakiroho nandio maana unacho taka kukieleza hapa watu wanaona kama imagination tuu,au unataka kuchanganyikiwa ila ukweli haya mambo nielimu. Na elimu haina mwisho mimi nilipo anza kujifunza kuhusu uwezo tulio nao binadamu kwakupitia meditation ukweli nakiri hapa nikua nadhan nimambo yakipuzi ,utapeli+naniwatu walio feli maisha au elimu hawana kabisa.
Daaaaaaahh, nimambo mazito,yakushangaza nayasio weza kuelezeka.nachangia kwakusema kwamba unaweza kujua mambo ya 2099 naunaweza kujua mambo yaliopita miaka mingi sana ukiwa tumboni hata zaidi yahapo,unaweza kujua kifo chako kitakuaje nakila kitu kuhusu hilo ila bado nausiweze kuzuia kifo chako.
Nilijua tu hauwezi kosekana apa dr[emoji16].Hii hesabu ni ngumu sana kuilewa
Tupo kuelimisha Taifa lililopotezwa na warumi Mkuu ndo Jukumu letu tulilopewa kuja Duniani Tena..Nilijua tu hauwezi kosekana apa dr[emoji16].
🤣🤣 sawa mkuuTupo kuelimisha Taifa lililopotezwa na warumi Mkuu ndo Jukumu letu tulilopewa kuja Duniani Tena..
Kwa reincarnation hii..
Jukumu la Kusafisha Na kuwapa watu wokovu halisi 😀😀
Kwenye nature hiyohiyo binadamu ni kiumbe mwenye uwezo na fikra zaidi.Chochote atakacho kifanya binadamu ni nature pia kwa sababu ata binadamu ni sehemu ya nature pia , najaribu mkuu nirudi zangu jukwaa la kupenzika huku nimepotea njia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
mkuu sidhani kama binadamu amefikia ata 1/ 3 ya kuujua ulimwengu wake tu achilia mbali hizo ulimwengu nyingne zinazosadikika zipo .Kwenye nature hiyohiyo binadamu ni kiumbe mwenye uwezo na fikra zaidi.
Lakini kuna baadhi ya mambo kwenye nature hiyohiyo binadamu hawezi kuyafanya, ilhali yeye ndiye kiumbe mwenye uwezo zaidi.
Nachojiuliza, Binadamu anashindwaje kufanya na ku control mambo yote kwenye nature yote?
Kwenye nature kuna nguvu zilizo na uwezo zaidi ya mwanadamu.
Je nguvu hizi ziliwezaje kutushinda sisi binadamu?
Kama binadamu ndie mwenye uwezo na fikra zaidi kwenye nature na observable universe ila kuna baadhi ya mambo yanamshinda binadamu,
Pengine kuna viumbe wengine "Unobservable creatures" Wenye uwezo zaidi ya binadamu kwenye unobservable universe.
Hili suala ni pana sana. Dininzote zinahubiri kuwa na Imani hivyo hivyo na wachawi pia wanaamini katika Imani mwisho wa siku wote wanategemea nguvu MojaUnajuaje huu uchawi na huu si uchawi ila ni kitu sijakijua vizuri tu?
Hujajibu swali hili.