Je, Taoism ni uchawi? Je, unaweza kutumia Taoism kutabiri mambo ya mbeleni? Nitajaribu kukuelewesha

Hakuna ukweli kuhusu hili mkuu, tarzo lenu hamtaki kujua ila mnataka kuamini kwasababu kuamini ni rahisi kuliko kujua,
Kujua kunahitaji garama, ila kuamini kunahitaji akili na akili kila mmoja anayo ila garama sio kila mmoja anaweza kumudu,
Huu ni ujinga ambao inatupasa tuupige chini ili tuendelee na mambo mengine kama wenzetu .
 
Unaowaita wenzetu, ni Mabingwa wa hizi mambo,

Tena mabingwa haswa.
 
Kwanza kabisa definitions, uchawi ni nini?
Kwakweli tunahitaji kufikiria tena si kwa nguvu sana, mambo mengi twaweza kuyabadilisha.
Mfano kuna member mmoja humu hizi aliwekwa uzi unaolaumu maskini kuwa ni wenye roho mbaya tena ni wachawi wanamroga. Ktk mambo mengi aliyoeleza, alidai kumwona jirani yake aliyekuwa uchi akiwa amesimama kwenye mpaka wa kiwanja chake. Mleta mada aliamini kuwa jirani yupo ktk process za kumroga!.
 
Navyojua mimi Taoism ni miongoni mwa dini za kichina katika maeneo ya tibet sasa sijui ww unazungumzia Taoism ipi
 
Hii Taoism inapatikana wapi hii haina tofauti na hadith za biblia na Quran kama kweli tuambueni 2024 kuna nini future vinginevyo haina tofauti na hadith za yesu au Mohamed
 
Mkuu inavyoonekana unataka general definition ya nature, wakati huo mleta mada anakupa definition ya nature according to Taoism.
Kwa uelewa wangu kuna baadhi ya maneno yakawa yanaonekana yanafanana lakini yakapata definition tofauti kulingana na field husika inavyolitumia hilo neno, kwa mfano neno "POWER", ukienda kwenye physics watakuambia is tha study of matter in relations to energy.
Wakati neno hilohilo POWER ukienda kwenye Field ya International relations and Diplomacy watakwambia ni ability to influence others to act accordingly.
Kwahiyo usimlaumu kung'ang'ania maana ya nature kulingana na tafsiri ua Taoism maana kuna baadhi ya field uwa na uniqueness kwenye perception ya mambo ambayo wengi huyaona yana maana hii wao wakaja na maana tofauti ambayo ndiyo inafit kwenye matumizi yao.
 
πŸ˜…πŸ˜…
Hawa Wana masikio lakini hawasikii na wana macho lakini hawaoni hata Ukiwapa Uthibitisho hawaamini mpaka waishi Mateso hayo 🀣🀣
Serikali inatumia pesa nyingi kusomesha watu wake ili wawe wajinga na Sio kuwa enlightenment
 
Serikali inatumia pesa nyingi kusomesha watu wake ili wawe wajinga na Sio kuwa enlightenment
Kuna kiongozi mmoja aliwahi Kusema "Ujinga ni Mtaji mkubwa sana kwa Makanisa/Dini na watawala ili kuendelea akupata faida na Kutawala"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…