Grace glory
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 374
- 531
Hakuna ukweli kuhusu hili mkuu, tarzo lenu hamtaki kujua ila mnataka kuamini kwasababu kuamini ni rahisi kuliko kujua,Mtoa mada unaonesha wewe tayari umeshafungua ulimwengu wakiroho nandio maana unacho taka kukieleza hapa watu wanaona kama imagination tuu,au unataka kuchanganyikiwa ila ukweli haya mambo nielimu. Na elimu haina mwisho mimi nilipo anza kujifunza kuhusu uwezo tulio nao binadamu kwakupitia meditation ukweli nakiri hapa nikua nadhan nimambo yakipuzi ,utapeli+naniwatu walio feli maisha au elimu hawana kabisa.
Daaaaaaahh, nimambo mazito,yakushangaza nayasio weza kuelezeka.nachangia kwakusema kwamba unaweza kujua mambo ya 2099 naunaweza kujua mambo yaliopita miaka mingi sana ukiwa tumboni hata zaidi yahapo,unaweza kujua kifo chako kitakuaje nakila kitu kuhusu hilo ila bado nausiweze kuzuia kifo chako.
Kujua kunahitaji garama, ila kuamini kunahitaji akili na akili kila mmoja anayo ila garama sio kila mmoja anaweza kumudu,
Huu ni ujinga ambao inatupasa tuupige chini ili tuendelee na mambo mengine kama wenzetu .