b wence
Senior Member
- Dec 30, 2016
- 154
- 108
Habari za wakati huu wakuu?..km kichwa changu hapo kinavyosema.kuna dada mmoja ameniomba nimuulizie kwenu.yeye anavyojua ana siku 28 za mzunguko wa hedhi,lkn mara nyingi zinapita hizo siku ,na hazielewi kwanini huwa inatokea hivo.anasema ni mara nyingi huwa inamtokea.anasema hali hiyo ilianza taratibu taratibu mwisho ikawa ndio hivo..je kidaktari tunamshaurije huyu dada
[HASHTAG]#asanteni[/HASHTAG]
[HASHTAG]#asanteni[/HASHTAG]