Je tatizo la kuchelewa kuziona siku(hedhi)linatokana na nini?

b wence

Senior Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
154
Reaction score
108
Habari za wakati huu wakuu?..km kichwa changu hapo kinavyosema.kuna dada mmoja ameniomba nimuulizie kwenu.yeye anavyojua ana siku 28 za mzunguko wa hedhi,lkn mara nyingi zinapita hizo siku ,na hazielewi kwanini huwa inatokea hivo.anasema ni mara nyingi huwa inamtokea.anasema hali hiyo ilianza taratibu taratibu mwisho ikawa ndio hivo..je kidaktari tunamshaurije huyu dada

[HASHTAG]#asanteni[/HASHTAG]
 
Dada si useme tu ukweli kwamba ni weye?? Kwani ukisema hivyo nnani anakutambua huku JF?? Si juzi kati ulikuja na thread ka hii kuwa sijui umevunja kifuu/ungo juzi juzi na siku zikapotea babisaa??
Soma ule ushauri niliokupa. Tafuta nguo ya mwanaume, unuse haswa kikwapa mara kwa mara utashangaa yatakavyo kuwa mazuri ghafla. Ikiwezekana ivae kwa muda.
Wamama walioolewa hufaidi harufu ya mumewe. Sasa kwa kuwa wewe huna, tafuta hata za kakako au babako. Kikwapa cha mwanaume ni dawa ya asili. Ka hutaki nenda hospitali ukachomwe masindano.
 
Nadhani una umri wa kutosha kuwa hapa..sidhani km ilo jibu linafaa
 
Sababu zake
..mawazo/fikra
..hormonal imbalance
..ulaji m,bovu
dawa ni ndogo tu(MDALASIN)
Kila siku asbuhi akiamka kabla hajala chochote ateleke kikombe kimoja cha maji atie na kjk kimoja cha mdalasini then ikichemka achuje anywe,kila siku afanye ivo ivo,mwez utaofata atapata siku zake kwa mpangilio kama kawaida
 
Asante mkuu,nitamshauri hivo
 
Mkuu hujasema km atumie huo mdalasini kwa muda gn,au ni mwezi mzima?
 
Mimi binafsi natumia kila siku kama chai yangu ya asbuh bila kutia sukar,waweza tia asali ukipenda..atumie ndani ya mwez tu ,mabadiliko atayaona,siku zake atapata kwa mpangilio na pia kama alikua anaumwa na tumbo akiwa siku zake basi litapoa pia,maumiv yake yatakua yakawaida sn au anaweza asiumwe kabisa tumbo.
 
Asante sn..nitamwelewesha ilo
 
wewe mtu huna watoto unatumia dawa za uzazi wa mpango za nini????
 
Back
Top Bottom