Mkuu pia anamiaka mingapi chini ya 18 huwa zinabadilika kutokana na umri wao hormony pia zinakuwa na vichocheo vingi mkuuIlo nilimuuliza lkn anadai yeye ni bikira
Nadhani una umri wa kutosha kuwa hapa..sidhani km ilo jibu linafaaDada si useme tu ukweli kwamba ni weye?? Kwani ukisema hivyo nnani anakutambua huku JF?? Si juzi kati ulikuja na thread ka hii kuwa sijui umevunja kifuu/ungo juzi juzi na siku zikapotea babisaa??
Soma ule ushauri niliokupa. Tafuta nguo ya mwanaume, unuse haswa kikwapa mara kwa mara utashangaa yatakavyo kuwa mazuri ghafla. Ikiwezekana ivae kwa muda.
Wamama walioolewa hufaidi harufu ya mumewe. Sasa kwa kuwa wewe huna, tafuta hata za kakako au babako. Kikwapa cha mwanaume ni dawa ya asili. Ka hutaki nenda hospitali ukachomwe masindano.
Bas aende hosptal kuna dawa atapewa ztarekebshaIlo nilimuuliza lkn anadai yeye ni bikira
Asante mkuu,nitamshauri hivoSababu zake
..mawazo/fikra
..hormonal imbalance
..ulaji m,bovu
dawa ni ndogo tu(MDALASIN)
Kila siku asbuhi akiamka kabla hajala chochote ateleke kikombe kimoja cha maji atie na kjk kimoja cha mdalasini then ikichemka achuje anywe,kila siku afanye ivo ivo,mwez utaofata atapata siku zake kwa mpangilio kama kawaida
Mkuu hujasema km atumie huo mdalasini kwa muda gn,au ni mwezi mzima?Sababu zake
..mawazo/fikra
..hormonal imbalance
..ulaji m,bovu
dawa ni ndogo tu(MDALASIN)
Kila siku asbuhi akiamka kabla hajala chochote ateleke kikombe kimoja cha maji atie na kjk kimoja cha mdalasini then ikichemka achuje anywe,kila siku afanye ivo ivo,mwez utaofata atapata siku zake kwa mpangilio kama kawaida
Mimi binafsi natumia kila siku kama chai yangu ya asbuh bila kutia sukar,waweza tia asali ukipenda..atumie ndani ya mwez tu ,mabadiliko atayaona,siku zake atapata kwa mpangilio na pia kama alikua anaumwa na tumbo akiwa siku zake basi litapoa pia,maumiv yake yatakua yakawaida sn au anaweza asiumwe kabisa tumbo.Mkuu hujasema km atumie huo mdalasini kwa muda gn,au ni mwezi mzima?
Asante sn..nitamwelewesha iloMimi binafsi natumia kila siku kama chai yangu ya asbuh bila kutia sukar,waweza tia asali ukipenda..atumie ndani ya mwez tu ,mabadiliko atayaona,siku zake atapata kwa mpangilio na pia kama alikua anaumwa na tumbo akiwa siku zake basi litapoa pia,maumiv yake yatakua yakawaida sn au anaweza asiumwe kabisa tumbo.