Social maniac
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 357
- 428
Hamuoni aibu wanamuziki 4 wote na mawigi yenu bado mnapambana na mtu mmojaNaona viewz zimeganda tu, zilipendwa inazidi kushika kasi bila promo bila kampeni ngoma inazidi kutusua tu.....itakuwa aibu sana pale seduce me itakapopitwa viewz na ngoma ambayo imetoka bila promo wala kampeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kusahau kampeni iliyofanyika hilo nalo la kujivunia pia..Kitu pekee ambacho umesahau ni kwamba Ali kiba pia kavunja rekodi ya ngoma yake kupata views wengi ndani ya mda mfupi kuliko. Hiyo pekee ni LA kujivunia kwake
Hizi ni mbio ndefu mwenye pumzi ndo atachukua kijiti, muda ndo mwamuzi tosha.kwa hiyo haya mashindano ya views kwa hizi nyimbo mbili yataendelea mpaka lini?
Soon zitatoka nyimbo mpya na hizi mbili zitasahaulika
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyie pigeni kampen kama kwel zinafikisha mbali
Na nyie hamuoni aibu kuungana mastaaa wote tz na pia kuomba msaada kwa mange awapigie kampeni kupandana na team ya mtu mmoja.Hamuoni aibu wanamuziki 4 wote na mawigi yenu bado mnapambana na mtu mmoja
Hatuhitaji kampeni wala nn, nyimbo zetu zinajiprome zenyewe ndo maana kadri mda unavoenda gepu linazid kupungua kwa kasi na ngoma ndo inazidi kuteka hisia za watu mtaani.......no hard feeling.Na nyie pigeni kampen kama kwel zinafikisha mbali
[emoji23][emoji23][emoji23] basi muziki wa bongo ni upuuzi kabisa, watu hawafocus tena kwenye burudaniHizi ni mbio ndefu mwenye pumzi ndo atachukua kijiti, muda ndo mwamuzi tosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww umelipwa kuja kukomenti.....Watu vimbelembele kila siku na vithread uchwar Kiba hivi mara Diamond vile mnalipwa au mbona wote wanamuziki wazuri tu
Hatutaki sababu za sungura hapa....mtaaibika sana pale domo atawapita viewz na ngoma yake mbovu ambayo haina promo wala kampeni.Big target ilikuwa ni wale viewers 1000000+ in a day ndani ya vevo..so umechelewa sana jombaa
Nyie si wakal wa kukesha youtube...[emoji23][emoji23][emoji23] basi muziki wa bongo ni upuuzi kabisa, watu hawafocus tena kwenye burudani
Sent using Jamii Forums mobile app