Je, team Kiba mmechoka kukesha youtube

Je, team Kiba mmechoka kukesha youtube

Naona viewz zimeganda tu, zilipendwa inazidi kushika kasi bila promo bila kampeni ngoma inazidi kutusua tu.....itakuwa aibu sana pale seduce me itakapopitwa viewz na ngoma ambayo imetoka bila promo wala kampeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamuoni aibu wanamuziki 4 wote na mawigi yenu bado mnapambana na mtu mmoja
 
Watu vimbelembele kila siku na vithread uchwar Kiba hivi mara Diamond vile mnalipwa au mbona wote wanamuziki wazuri tu
 
kiba viweres wke n millioni 5 sidhan kama ameshawahi gonga millioni 20+

G.O.M.D
 
Big target ilikuwa ni wale viewers 1000000+ in a day ndani ya vevo..so umechelewa sana jombaa
 
Ivi mbona mna gubu kama mawifi wa kizaramo nakumbuka juzi juzi tu mlikua mnakesha kumdhihaki Kiba kua kaishiwa hawezi kutoa wimbo kwa sasa naona kasikia kilio chenu kawashushia bomu la masafa marefu mmerudi tena na gubu la kike mara ka-copy wimbo,viewers fake,wimbo mbaya,video ya ovyo na wewe unalia hapa eti views zimeganda wakati mzigo umegonga 4.5 M kirahisi tu acheni wivu kaeni chini mje na hoja za kueleweka mna kera na thread za chuki kila leo
 
Back
Top Bottom