Kumbeeeeee sasa povu la nini baabaa kama mshawah fikisha idadi yote hiyo. Hapo ndipo ninapowashangaa team domo.Uzi wa motooooo naona unatapatapa tu kama umekula tonge la moto.....pamoja na promo na kampen lote hilo jmn wimbo bado una view 4M mmmh aisee nakumbuk salome ndani wa week kama moja iv ilikuwa na 10M viewz bila nguvu kutoka nje.....je ingefanyiwa kampeni sasa kama ile ilofanywa kwa seduce me, si ingekuwa noma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaahaa kama umekufa thread ya nini team domo. By the way wiki hii vipi hamtoi nyingine??? Halaf msisahau kubadilisha mabango barabarani, ule wa tiwa savage umekaa sana bana.Team kiba huwa nawafananisha na wanafunzi wenye uwezo mdogo darasan yaani bila booster na kukesha shule haiendi. Ndo nyie sasa mmekeshaaa weeeeee ili tu muonekane mna nguvu lkn wapi kanyimbo kamejifia pamoja na kampen lote hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi kama mond angekuwa na chuki sizani kama leo tungekuwa na mtu kama harmonize, rayvanny, queen darling alikuwa kashaisha lkn now kamtengeneza tena demu anapiga mkwanja kwa kwnd mbl....ila li domo bhana lina nyota ya ajibu achabti watu walichukie.Wazee wa tandale chuki zenu huwq hazijifichi kuanzia kwa rais wenu hadi wafuta viatu. Mahaba kwa kiba yanawapagaisha haaaahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe umesikia..oh ohhhhhh.Ni aibu pale msanii unayejiita king kuomba sapoti kwa watu wenye chuki na adui yako wakupromote ili upambane naye.......nasikia alimlilia mange kimambi akimuomba amfanyie kampeni maana maji yalikuwa ya shingo......mastaa wote waliungana kina wema jokate lulu na malaya wote wa mtandaoni wenye majina kupigana na jeshi moja la wcb tu....na bado hari ni mbaya........ni kama marekani anavowaomba vibaraka wake kwnd kupigana na NK.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu ana majungu kama nyie. Mlichokoza mzinga wa nyuki sasa mnalialiaDomo mkubwa bwana pamoja na viriba vyenu na majungu lkn kila anayemshika mkono anakuwa star.....kiba hata mdogo wake tu kashindwa kumtngenezea jina.....harmonize kaja juzi tu lkn ni talk of the town.......kumlilia mange kimambi akufanyie kampeni ni aibu kubwa sana kwa msanii unayejiita king na unakubalika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana nikakwambia wcb n brand kubwa siyo kitoto we use ower own power kupushi nyimbo na project zetu....hatulilii misaada kutok nje tunakufa kiume hatuhitaji kufanyiwa kampen ili project zetu zitusue,Haaaahaa kama umekufa thread ya nini team domo. By the way wiki hii vipi hamtoi nyingine??? Halaf msisahau kubadilisha mabango barabarani, ule wa tiwa savage umekaa sana bana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa kiba kajiaibisha sana kaonekana msanii wa hovyo kabisa....unamliliaje mange kwa mfano....unajua inanipa ukakasi sana
Ohhhhh kumbe mashabiki wa domo ndio wa kina rich oh oh, poleni sana. Sasa hapo umenena sawiaa team wcb vs team kiba inayojumuisha mange na kina lulu.Huku ukisahau kuwa mashabik wa hawo madogo wa wcb ndo hao hao wa mond.....uku akili yako inakuwa ndogo kuwazua kuwa msanii wako anafnyiwa kampeni na mtu kama mange ambaye ana ushawish mkubwa kwny social media mtu kama wema, jokate, lulu, na wengne wenye majina na ushawish mkubwa kupambana na team mojabtu ya wcb na bado unakimbzwa hiv hujifikirii kuwa huwo ni ujinga wa kiwango cha lami.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatulii ila tunashngaaa msanii mkubwa kukesh DM ukiomba msaada wa promo na kampeni ya wimbo wako.Kuna mtu ana majungu kama nyie. Mlichokoza mzinga wa nyuki sasa mnalialia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie vipi matangazo bado mnalipia? Ila lile la kamata ni Zuri. Linashawishi watu kwenda you tube [emoji23] [emoji23]
Nakwambia mpk huu mwezi uishe tutajua mbivu na mbichi....yetu macho.
Na kweli team inayolipia matangazo ili watu waingie you tube[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo maana nikakwambia wcb n brand kubwa siyo kitoto we use ower own power kupushi nyimbo na project zetu....hatulilii misaada kutok nje tunakufa kiume hatuhitaji kufanyiwa kampen ili project zetu zitusue,
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeeeee dont tell me dada.Hahahaaaa kiba kajiaibisha sana kaonekana msanii wa hovyo kabisa....unamliliaje mange kwa mfano....unajua inanipa ukakasi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mange ana team yake jokate ana team yake wema ana team yake tena ni strong team zenye ushawish zinaungana na team kiba kupigana na team wcb.....yaani ni kama yanga aungane na azam, mbeya city, stand utd, mbao fc kucheza na na simba.Ohhhhh kumbe mashabiki wa domo ndio wa kina rich oh oh, poleni sana. Sasa hapo umenena sawiaa team wcb vs team kiba inayojumuisha mange na kina lulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau point moja. Zilipendwa wameungana wasanii wanne huku seduce me akiwa mmoja. Unganisha mashabiki wa wanne na mmoja. Ukirud tuambie mmetumia muda gani kumpiku jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Fita ni fita muraaa. Ni kama team wcb kutoa pesa ili watu waende you tube. Hahaha unalipa ili udekuliweHatulii ila tunashngaaa msanii mkubwa kukesh DM ukiomba msaada wa promo na kampeni ya wimbo wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatutumii nguvu yaani nyimbo inaj promote yenyewe.......ndo maana ukienda kwny trend seduce ipp juu kwa kutrend lkn zilipendwa inakimbiza kwa uongezekaji wa viewz.....