kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
- Thread starter
-
- #121
Pamoja na promo na kampeni yote ile king akaona bado ugali wa moto unamuunguza akalipia instagram wimbo ukawa sponsored na vevo pia aklipia yaani vyote ivo vya nn si ujiamini tu yaani unafanyiwa kampeni lkn bado roho juujuu jmn.Na kweli team inayolipia matangazo ili watu waingie you tube[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eneka kama kawa inagongwa kila KONA,NDANI na nje ya nchi,WAZEE WA SEDUCE MNAPOELEKEA MTAMTEKAGA AU KUMPIGA SHABA MONDI NYINYI
Nasikia matundu yako ya nyuma hayazibiki wee mke wa DABWewe mchawi, ukizeeka unakuwa na matundu 2 kabisa nyuma
Kumbe najibizana na bwabwa. Mimi siyo Basha. Pita mbali na mimiMimi matundu yangu ya nyuma hayazibiki natafuta bwana humu nina hasira tangu nipigwe chini kama mke wa DAB
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp umeitaja tabia yako nasikia CCM wewe ndie bwawa lao la kufanyia mazoezi hadi wavaa pampasKumbe najibizana na bwabwa. Mimi siyo Basha. Pita mbali na mimi
Naona viewz zimeganda tu, zilipendwa inazidi kushika kasi bila promo bila kampeni ngoma inazidi kutusua tu.....itakuwa aibu sana pale seduce me itakapopitwa viewz na ngoma ambayo imetoka bila promo wala kampeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Team kiba wakiwa kazini mambo za ma viewz nn.
Hivi huyu malaya mbona kila mtu anamwita dada? haya mambo ya kulelewa yanashida sana, yaani kwakuwa wewe ni wakike unaona wenzio wote wakike? Shida ya team yenu mnaona kila anaepinga wimbo wa seduce mnadhani ni team Domo. wengine wala hatupo kwenye team yeyote, tunaangalia uzuri na ubora wa kazi, Kiba akifanya vizuri tunafurahi na akifanya hovyo tunasema pia kama ilivyo kwa Nasibu nae akafinya vizuri tunapongeza akifanya hovyo tunampa zake pia. Mmekuwa kwenye mapenzi mpaka mnashindwa kuona makosa kwa hao wapenzi wenu? ndo maana nasema kuwa mambo ya team kiba na team Diamond ni mambo ya kike na ma house girl.Im too smart dada..... Hehehhe. Hiv mashabiki wa ntu nne wameshindwa kupita views za Kb kwa masaa??? [emoji134] [emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Um krupuka mdogo wng.....kipind zilipendwa inatoka seduce me ilikuwa na viewz laki tatu na ushee ukilinganisha na kampeni na promo la kufa mtu alofanya mange kimambi na team yake viewz zilipanda ghafla hadi kufikia gap la 1M viewz lkn kaangalie asa iv kuna utofauti wa viewz ngp pamoja na kikesha kwn youtube.Wakati wcb wanatoa zilipendwa seduce me ilikuwa na viewz laki 2,now seduce me imeizidi zilipendwa kwa takribani viewers laki 7,nani anapanda hpo ikiwa mwanzo walitofautiana kura laki 7,na still seduce me ipo juu ya zilipendwa kwenye trending tangu hizi nyimbo zitoke, sasa sijui unaongea ukiwa na huzuni au ndio kujitekenya halafu sisi ndio tucheke
Um krupuka mdogo wng.....kipind zilipendwa inatoka seduce me ilikuwa na viewz laki tatu na ushee ukilinganisha na kampeni na promo la kufa mtu alofanya mange kimambi na team yake viewz zilipanda ghafla hadi kufikia gap la 1M viewz lkn kaangalie asa iv kuna utofauti wa viewz ngp pamoja na kikesha kwn youtube.
Nq nakuhakikishia mpk mwezi huu ipote utaniletea mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitoe ufahamu....sisi hatuna presssure mdogomdogoGap galijawahi kufika 1 M Usitake kudanganya watu ww
Share holder?Kiba kasema soon anaachia ngoma sasa usiogopeshwe na stater subiri mlo kamili.... Si unajua yeye ni share holder wa rockstar music and vdeo production ya south africa
Wazee wa baskel za barafu naona jua kali barafu inazid kuyeyuka tuKiba kasema soon anaachia ngoma sasa usiogopeshwe na stater subiri mlo kamili.... Si unajua yeye ni share holder wa rockstar music and vdeo production ya south africa