Je, team Kiba mmechoka kukesha youtube

Je, team Kiba mmechoka kukesha youtube

Na kweli team inayolipia matangazo ili watu waingie you tube[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na promo na kampeni yote ile king akaona bado ugali wa moto unamuunguza akalipia instagram wimbo ukawa sponsored na vevo pia aklipia yaani vyote ivo vya nn si ujiamini tu yaani unafanyiwa kampeni lkn bado roho juujuu jmn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona viewz zimeganda tu, zilipendwa inazidi kushika kasi bila promo bila kampeni ngoma inazidi kutusua tu.....itakuwa aibu sana pale seduce me itakapopitwa viewz na ngoma ambayo imetoka bila promo wala kampeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
a2ad20af3f7ef1ffcf0a0b04ad785f7a.jpg

Team kiba wakiwa kazini mambo za ma viewz nn.

Wakati wcb wanatoa zilipendwa seduce me ilikuwa na viewz laki 2,now seduce me imeizidi zilipendwa kwa takribani viewers laki 7,nani anapanda hpo ikiwa mwanzo walitofautiana kura laki 7,na still seduce me ipo juu ya zilipendwa kwenye trending tangu hizi nyimbo zitoke, sasa sijui unaongea ukiwa na huzuni au ndio kujitekenya halafu sisi ndio tucheke
 
Im too smart dada..... Hehehhe. Hiv mashabiki wa ntu nne wameshindwa kupita views za Kb kwa masaa??? [emoji134] [emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyu malaya mbona kila mtu anamwita dada? haya mambo ya kulelewa yanashida sana, yaani kwakuwa wewe ni wakike unaona wenzio wote wakike? Shida ya team yenu mnaona kila anaepinga wimbo wa seduce mnadhani ni team Domo. wengine wala hatupo kwenye team yeyote, tunaangalia uzuri na ubora wa kazi, Kiba akifanya vizuri tunafurahi na akifanya hovyo tunasema pia kama ilivyo kwa Nasibu nae akafinya vizuri tunapongeza akifanya hovyo tunampa zake pia. Mmekuwa kwenye mapenzi mpaka mnashindwa kuona makosa kwa hao wapenzi wenu? ndo maana nasema kuwa mambo ya team kiba na team Diamond ni mambo ya kike na ma house girl.
Nyeusi lazima iwe nyeusi na nyeupe iwe nyeupe. Chongo ni chongo sio uite kengeza.
Huna haja ya kunijibu maana nisha kublock sina muda wa kusoma comments za malaya.
 
Wakati wcb wanatoa zilipendwa seduce me ilikuwa na viewz laki 2,now seduce me imeizidi zilipendwa kwa takribani viewers laki 7,nani anapanda hpo ikiwa mwanzo walitofautiana kura laki 7,na still seduce me ipo juu ya zilipendwa kwenye trending tangu hizi nyimbo zitoke, sasa sijui unaongea ukiwa na huzuni au ndio kujitekenya halafu sisi ndio tucheke
Um krupuka mdogo wng.....kipind zilipendwa inatoka seduce me ilikuwa na viewz laki tatu na ushee ukilinganisha na kampeni na promo la kufa mtu alofanya mange kimambi na team yake viewz zilipanda ghafla hadi kufikia gap la 1M viewz lkn kaangalie asa iv kuna utofauti wa viewz ngp pamoja na kikesha kwn youtube.

Nq nakuhakikishia mpk mwezi huu ipote utaniletea mrejesho.

Gap galijawahi kufika 1 M Usitake kudanganya watu ww
 
Kiba kasema soon anaachia ngoma sasa usiogopeshwe na stater subiri mlo kamili.... Si unajua yeye ni share holder wa rockstar music and vdeo production ya south africa
Wazee wa baskel za barafu naona jua kali barafu inazid kuyeyuka tu
 
Back
Top Bottom