Je, team Kiba mmechoka kukesha youtube

Je, team Kiba mmechoka kukesha youtube

Najaribu tu kuwakumbusha
9e4b55beee035b1dde9ba3ba9ee9ef8a.jpg
d25855fb5112e85ea3ada70df0a9f385.jpg
Asee
 
Najaribu tu kuwakumbusha
9e4b55beee035b1dde9ba3ba9ee9ef8a.jpg
d25855fb5112e85ea3ada70df0a9f385.jpg
HAHAHAAAA HAWANA HAMU KABISAA,MAANA NYIMBO INAPUMULIWA MGONGONI,I WISH WAFANYE TENA KALE KACONFERENCE KA KUONGEZA VIEW HARAKA SANAAA,MAANA KABLA YA MASAA10 YAJAYO KUNA WATU WATAIBIKA NA VIEW ZAO ZA KICHINA
 
Siyo kupumuliwa kaka seduce me ishafanywa kitu kibaya tyar uko YouTube na mtaani ndo usiseme.
 
Mkuu hukuona ngoma ya zilipendwa inafanyiwa promo instagramu ,jamaa alienda lipia ili ngoma yake izidi viewer seduce me???? Kalaga bhaoooo
 
Siyo kupumuliwa kaka seduce me ishafanywa kitu kibaya tyar uko YouTube na mtaani ndo usiseme.
uuuuuuwiii

Huku mtaani tulishawasahu KABISAAAA,hakuna mwenye time tena,hata huyo kiba amestuka watu walimpa kiki tu,AIBU KWELI YANI
 
Mkuu hukuona ngoma ya zilipendwa inafanyiwa promo instagramu ,jamaa alienda lipia ili ngoma yake izidi viewer seduce me???? Kalaga bhaoooo
Hahahaaaa daaahhh MASKINI BOOSTER IKIKATA MBAYA SANAAA

JUZI ULIONA NI MNYAMA GANI ALIISIMAMISHA AFRIKA???
 
Mkuu hukuona ngoma ya zilipendwa inafanyiwa promo instagramu ,jamaa alienda lipia ili ngoma yake izidi viewer seduce me???? Kalaga bhaoooo
Nyie mlipigiwa kampeni na promo la kutosh kila kona na bado instagram mkalipia au unafikili hatukuona.
 
Hahahaaaa daaahhh MASKINI BOOSTER IKIKATA MBAYA SANAAA

JUZI ULIONA NI MNYAMA GANI ALIISIMAMISHA AFRIKA???
Mkuu watu wakusomba ili waje barabarani kumlaki simba asiye na meno??? Niliyaona mkuu yale mazingaombwe ,sharti lilikuwa ili shoo ifanyike lazima msombe watu wajae barabarani....teheeee teheeee teheeee
 
Diamond kwa sasa kwa hapa Tz hana mpinzani , mimi ni mshabiki wa nyimbo za kiba enzi ya sindelela. Kipindi kile kiba alikuwa juu sana, pia kiba sauti anayo tatizo ni kujituma na management yake niya kawaida. Diamond yupo kibiashara zaidi, Anajituma sana na ana management nzuri. Kiba yupo kwa kuleta burudani zaidi sio kibiashara.
 
Back
Top Bottom