Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 334
- Thread starter
-
- #21
Yap matokeo haya ni ya kweli kabisaKwenye miaka ya 1998-99 kuna dogo alikua at a hajui kusoma lkn aliunda mtambo wa redio na alikuwa na uwezo was kuzia matangazo ya radio station zingine . Nakumbuka Makuburi yote ubungo na sehem za tabata Dogo alizima mitambo ya redio zingine , ukiwasha redio hupat kitu ni hip redio take. Cjui aliishia wap
Teknolojia kwetu bado sana labda miaka 2000 ijayo After Christ (A.C)Hakika uko sahihi Raphel, Ila mimi nahisi viongozi wetu wa Tanzania hawajui umuhimu wa sayansi katika biashara.
Hata mimi nina fikra sawa na yako, after thousand of years may be that gonna happen.Teknolojia kwetu bado sana labda miaka 2000 ijayo After Christ (A.C)
Hemu fafanua zaidi kauli hiiKwasababu wasomi wanapoteza mda kushabikia ujinga ujinga tu