Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 334
- Thread starter
- #21
Yap matokeo haya ni ya kweli kabisaKwenye miaka ya 1998-99 kuna dogo alikua at a hajui kusoma lkn aliunda mtambo wa redio na alikuwa na uwezo was kuzia matangazo ya radio station zingine . Nakumbuka Makuburi yote ubungo na sehem za tabata Dogo alizima mitambo ya redio zingine , ukiwasha redio hupat kitu ni hip redio take. Cjui aliishia wap