PromiseLand
JF-Expert Member
- Jun 24, 2021
- 298
- 413
Salaam wana jukwaa.
Kama kichwa cha mada kinavyouliza, Je tendo la ndoa linafaa wakati gani?Je linafaa kabla ya ndoa au baada ya ndoa? Tukiachana na Imani za dini, Je mila na desturi zetu kama Waafrika au Watanzania zinasemaje?
Haya mambo ya kutikisa kabla ya kutumia huko mbeleni kutakuwa na vijana wanaofunga ndoa kweli?! Nini maoni yako juu ya jambo hili?.