Je, tetesi zakuahirishwa kwa vikao vya juu vya CCM ni matokeo ya Polepole kupiga kwenye mshono?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,120
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni zikisema, vikao vya juu vya CCM vilivyotarajiwa kukaa leo na kesho vimehairishwa ghafla.

Je, hatua hizo ni matokeo ya spana za Polepole dhidi ya udhaifu wa CCM na serikali yake?

Muda utakuja kusema mengi.
 
Nasikia ni fake news,ngoja tusubiri
 
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni zikisema, vikao vya juu vya CCM vilivyotarajiwa kukaa leo na kesho vimehairishwa ghafla.

Je, hatua hizo ni matokeo ya spana za Polepole dhidi ya udhaifu wa CCM na serikali yake?

Muda utakuja kusema mengi.
Polepole kawajambisha sasa wanajamba jamba ovyo tu
 
Mna m frustrate Mzee wa kijijini Msoga, Yopa wahuni.
 
Iwe kweli ama fake lazima Sasa hivi wanaangaliana kwa mashaka huko ukumbini. Hakuna anamwanini mwenzie.

Mwenyekiti anaonekana ni kituko, na ni mwepesi sana.
 
Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni zikisema, vikao vya juu vya CCM vilivyotarajiwa kukaa leo na kesho vimehairishwa ghafla.

Je, hatua hizo ni matokeo ya spana za Polepole dhidi ya udhaifu wa CCM na serikali yake?

Muda utakuja kusema mengi.
Polepole ka beep tu bado ajafungua mzigo wa kijasusi alionao
 
Ki ufupi hamna kuaminiana tena Pole Pole kamwaga Mboga zote watu matonge yalikua mkononi wanaangaliana nani achovye nani azoe.

ILe Kusema TUNAJUANA wotee tusiokubali yanayoendelea imetararadisha hali ya hewa.

Sasa hivi nadhani imebidi Mama aongezwe Ulinzi,umakini, na protokali zifatwe ili popote atapokua kuwe na usalama usio na shaka.

Imani hamna tena wanaona kunakoelekea ni kumpoteza bi maza kwa njia isiyo rafiki.

Ni lazima security ziimarishwe watu wapangwe wapangike,nk

Huko JUU ni simu zinaingia na kutoka milango ina funguliwa na kufungwa panatokota
 
Back
Top Bottom