Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Nasikia ni fake news,ngoja tusubiriKuna taarifa zinasambaa mitandaoni zikisema, vikao vya juu vya CCM vilivyotarajiwa kukaa leo na kesho vimehairishwa ghafla.
Je, hatua hizo ni matokeo ya spana za Polepole dhidi ya udhaifu wa CCM na serikali yake?
Muda utakuja kusema mengi.
Hakuna fake hapo, barua ya tarehe 18 imefuta ya tarehe 15.Nasikia ni fake news,ngoja tusubiri
Polepole kawajambisha sasa wanajamba jamba ovyo tuKuna taarifa zinasambaa mitandaoni zikisema, vikao vya juu vya CCM vilivyotarajiwa kukaa leo na kesho vimehairishwa ghafla.
Je, hatua hizo ni matokeo ya spana za Polepole dhidi ya udhaifu wa CCM na serikali yake?
Muda utakuja kusema mengi.
Huyu mzee naunga mkono atangulizwe ahera ili nchi ipone.Mna m frustrate Mzee wa kijijini Msoga, Yopa wahuni.
Una mwana sheria ndugu yangu?Huyu mzee naunga mkono atangulizwe ahera ili nchi ipone.
Wanaopaswa kufuata ni Mchengerwa na Kundi lake.
Bila hayo hii nchi haitaweza kupona kamwe.Una mwana sheria ndugu yangu?
Polepole ka beep tu bado ajafungua mzigo wa kijasusi alionaoKuna taarifa zinasambaa mitandaoni zikisema, vikao vya juu vya CCM vilivyotarajiwa kukaa leo na kesho vimehairishwa ghafla.
Je, hatua hizo ni matokeo ya spana za Polepole dhidi ya udhaifu wa CCM na serikali yake?
Muda utakuja kusema mengi.
🤣🤣🤣 Ombi languHuyu mzee naunga mkono atangulizwe ahera ili nchi ipone.
Wanaopaswa kufuata ni Mchengerwa na Kundi lake.