Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🥳Karia
KIdau
Msafiri
Almasi
Wambura
Madadi
Kuwataja wachache
Mkuu kwa hizo details zinatosha kabisa.Mbona hujamalizia
Kuna tofauti gani kati ya tiss na informers?Mkuu kwa hizo details zinatosha kabisa.
si vyema kuwataja kwa majina yao..
ila kuna ma informer na kuna watu wa idara..
kwenye vilabu kuanzia
Simba
Yanga
Azam na zinginezo kuna wachezaji ambao ni ma Informer
hawa wanafanya kazi ya kuwachoma na kupeleka taarifa kwa maofisa au kwa watu ambao wame directiwa kuwapelekea taarifa mbalii mbali kuanzia Siri na migogoro ya vilabu hadi wachezaji wenyewe binafsi.
then baadhi ya clabu wapo maofisa wasiri wa TISS na TFF wapo pia maofisa..
Yanga inaongoza kwa kuwa na watu wengi wa system ikifuatiwa na simba..
Niishie Hapa.
Miaka ya 80s ilikua inajulikana kabisa Mtemi Ramadhani alikua mtu wa idara. Wapo wengi TFF kama ambavyo wapo hadi kwenye taasisi za dini kama BAKWATA, CCT, TEC nkMkuu kwa hizo details zinatosha kabisa.
si vyema kuwataja kwa majina yao..
ila kuna ma informer na kuna watu wa idara..
kwenye vilabu kuanzia
Simba
Yanga
Azam na zinginezo kuna wachezaji ambao ni ma Informer
hawa wanafanya kazi ya kuwachoma na kupeleka taarifa kwa maofisa au kwa watu ambao wame directiwa kuwapelekea taarifa mbalii mbali kuanzia Siri na migogoro ya vilabu hadi wachezaji wenyewe binafsi.
then baadhi ya clabu wapo maofisa wasiri wa TISS na TFF wapo pia maofisa..
Yanga inaongoza kwa kuwa na watu wengi wa system ikifuatiwa na simba..
Niishie Hapa.
Na marehemu Ramadhan NassibWallace ni kipepeo ndio aliowakaanga akina Jamali juu ya utakatishaji wa fedha
Mkuu ulitaka kuandika "Mtemi" Ramadhani?Miaka ya 80s ilikua inajulikana kabisa Myemi Ramadhani alikua mtu wa idara. Wapo wengi TFF kama ambavyo wapo hadi kwenye taasisi za dini kama BAKWATA, CCT, TEC nk
Huyu ni halisi haswa.. Wengine hao labda in4 tu..Na marehemu Ramadhan Nassib
Asante mkuu, nimerekebisha. Ni Mtemi RamadhaniMkuu ulitaka kuandika "Mtemi" Ranadhani?
Razima,vitabu..na utakuta una vyeti vikubwa tu,mashuleni sijui Kuna nini siku hizi!!!TFF ambayo inajumuisha virabu vyote vya mpira ni rahisi MTU kupenyezwa kuliko katika mabenki mfano jiulizi ukimkuta kocha,au mchezaji ni mchina au muarabu utaona ni kawaida lakini Leo hii unaenda Benki yeyote unamkuta manager au taller ni mchina razima uumize kichwa na uweke dout,huo NI mfano
Tenga muda utujuze mkuu.Rais mmoja wa zamani wa tff namtilia shaka
Lugha yetu bhana... Huwa nawaza labda kimatamshi labda mtu unaweza changanya R na L ni udhaifu tu wa kutamka.. Ila inapofikia hadi mtu ana andika kabisa hivyo kidogo huwa inanitatiza na kunichanganya.Razima,vitabu..na utakuta una vyeti vikubwa tu,mashuleni sijui Kuna nini siku hizi!!!
Miaka ya 80s ilikua inajulikana kabisa Mtemi Ramadhani alikua mtu wa idara. Wapo wengi TFF kama ambavyo wapo hadi kwenye taasisi za dini kama BAKWATA, CCT, TEC nk
Ili apone ni Razima ajifunzeLugha yetu bhana... Huwa nawaza labda kimatamshi labda mtu unaweza changanya R na L ni udhaifu tu wa kutamka.. Ila inapofikia hadi mtu ana andika kabisa hivyo kidogo huwa inanitatiza na kunichanganya.
Labda wenye changamoto hiyo wangesema hawaoni tofauti ya uandishi na matamshi katika kuchanganya hizo herufi..