Je, TFF Kuna TISS?

Mbona hujamalizia
Mkuu kwa hizo details zinatosha kabisa.
si vyema kuwataja kwa majina yao..

ila kuna ma informer na kuna watu wa idara..
kwenye vilabu kuanzia
Simba
Yanga
Azam na zinginezo kuna wachezaji ambao ni ma Informer
hawa wanafanya kazi ya kuwachoma na kupeleka taarifa kwa maofisa au kwa watu ambao wame directiwa kuwapelekea taarifa mbalii mbali kuanzia Siri na migogoro ya vilabu hadi wachezaji wenyewe binafsi.

then baadhi ya clabu wapo maofisa wasiri wa TISS na TFF wapo pia maofisa..
Yanga inaongoza kwa kuwa na watu wengi wa system ikifuatiwa na simba..

Niishie Hapa.
 
Kuna tofauti gani kati ya tiss na informers?
 
Miaka ya 80s ilikua inajulikana kabisa Mtemi Ramadhani alikua mtu wa idara. Wapo wengi TFF kama ambavyo wapo hadi kwenye taasisi za dini kama BAKWATA, CCT, TEC nk
 
Razima,vitabu..na utakuta una vyeti vikubwa tu,mashuleni sijui Kuna nini siku hizi!!!
 
Razima,vitabu..na utakuta una vyeti vikubwa tu,mashuleni sijui Kuna nini siku hizi!!!
Lugha yetu bhana... Huwa nawaza labda kimatamshi labda mtu unaweza changanya R na L ni udhaifu tu wa kutamka.. Ila inapofikia hadi mtu ana andika kabisa hivyo kidogo huwa inanitatiza na kunichanganya.

Labda wenye changamoto hiyo wangesema hawaoni tofauti ya uandishi na matamshi katika kuchanganya hizo herufi..
 
Aisee mtemi ramadhani ninani? Halafu kumbe tiss inakuwaga ahead of time maana Kama miaka ya 80 waliona umuhimu wa kuwa na moles kwenye michezo Basi leo ni zaidi.
Miaka ya 80s ilikua inajulikana kabisa Mtemi Ramadhani alikua mtu wa idara. Wapo wengi TFF kama ambavyo wapo hadi kwenye taasisi za dini kama BAKWATA, CCT, TEC nk
 
Ili apone ni Razima ajifunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…