Vyama vya siri vinavyofanya mambo yao kwa codesHeshima kwenu wote.
Kuna jambo nimeliona katika pita pita za mtandaoni kuhusu katuni ya Simpsons, kuhusu kutabiri matukio ya jayo katika episode zake.
Jambo ambalo nimeliona wametabiri limenishtua zaidi ni Tramp. Kurudi tena madarakani
Kama kuna mtu ana fahamu zaidi kuhusu The Simpsons tufahamishane katika hili.
View attachment 3112353
dunia hii tunaishi ila tunaongozwa na secret societies!!!Vyama vya siri vinavyofanya mambo yao kwa codes
Hatari sanaalafu katuni yao haijatabiri trump kurudi madarakani, ilitabiri atarudi kugombea ila imetabiri kamala ndo raisi mpya
pia ilitabiri mtoto wa trump mbele huko nae kuwa raisi
ikatabiri AI badae kutawala sana
sema mengine ni kweli yanatokea kwa kadri ya mipango yao mengine wanazuga
Me nilidhani labda wana uhusiano na Freemason kumbe ni kutabiri tuu.Tatizo ni kwamba, wakitabiri vitu 1,000, halafu 999 visiwe kweli na 1 kikawa kweli, utasikia kuhusu kile kimoja kilichokuwa kweli tu, hutasikia vile vingine 999 ambavyo havikuwa kweli
Freemasons are overrated.Hatari sana
Me nilidhani labda wana uhusiano na Freemason kumbe ni kutabiri tuu.
Duh kwani freemason ni kitu gani?Matt Groening, mtunzi na muandaaji wa katuni za Simpson alikuwa 33° Freemason........
Hiyo ni level ya juu kabisa, na kuanzia hapo unaweza kupata majibu ya swali lako.