Je, the Simpsons wanatabiri matukio yajayo?

Suhendra

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
1,625
Reaction score
3,307
Heshima kwenu wote.

Kuna jambo nimeliona katika pita pita za mtandaoni kuhusu katuni ya Simpsons, kuhusu kutabiri matukio ya jayo katika episode zake.

Jambo ambalo nimeliona wametabiri limenishtua zaidi ni Tramp. Kurudi tena madarakani

Kama kuna mtu ana fahamu zaidi kuhusu The Simpsons tufahamishane katika hili.

download (2).jpeg
 
View attachment 3112353
Vyama vya siri vinavyofanya mambo yao kwa codes
 
alafu katuni yao haijatabiri trump kurudi madarakani, ilitabiri atarudi kugombea ila imetabiri kamala ndo raisi mpya

pia ilitabiri mtoto wa trump mbele huko nae kuwa raisi

ikatabiri AI badae kutawala sana

sema mengine ni kweli yanatokea kwa kadri ya mipango yao mengine wanazuga
 
Hatari sana
Tatizo ni kwamba, wakitabiri vitu 1,000, halafu 999 visiwe kweli na 1 kikawa kweli, utasikia kuhusu kile kimoja kilichokuwa kweli tu, hutasikia vile vingine 999 ambavyo havikuwa kweli
Me nilidhani labda wana uhusiano na Freemason kumbe ni kutabiri tuu.
 
Back
Top Bottom