Je, Time Travel Inawezekana? Einstein Alitupa Jibu Miaka Kadhaa Iliyopita

Je, Time Travel Inawezekana? Einstein Alitupa Jibu Miaka Kadhaa Iliyopita

Ikiwa mtu anaweza kurudi nyuma ya muda basi alietengeneza ulimwengu nakuweka hizi kanuni zake aje nimsaidie kuzirekebisha!..😅

Kurudi nyuma ya wakati ni nadharia tu haswa kwa wale wanaofikiri muda ni kama slice za mikate!, muda haupo hivyo.
Muda ni vile stillness ya space inavyoendelea ku exist, past, present na future ni sisi tunavyoyatazama matukio yaliyopita,yaliyopo na yajayo yani kuifupi tupo affected na ubongo namna unavyonakili matukio.
Hii inatusaidia sisi lakini haina maana na space-time ndivyo inavyofanya kazi!.

Travelling to the future, kupitia dhana ya Albert ina make sense ila to the past mh! Inatia mashaka sidhani kama space inaacha kumbukumbu ya matukio yetu na unaweza kuyafikia!, kwenye space tendo likishafanyika ndo limefanyika huwezi kulirejesha labda kama litakuwa na athari tu ndo unaweza kuona matokeo ya athari na sio kulirejelea kinyumenyume!.

Ulimwengu una vingi vya kushangaza haya tuliyoyagundua ni kama vile mtoto ndio anaanza kutambaa!, we are in early stages...😅
 
Mzee wa Kuruani na Allah...😂

kwenye kila jambo unaweka Quran.

Sema nyie waislamu huwa mnashangaza sana.😂

😂 “Mzee wa Qur’ani na Allah” ni kejeli, si hoja. Mimi ni Muislamu, nikieleza mtazamo wa Uislamu nitatumia Qur’an—ulitaka nitumie nini, Biblia? 😂

Kama nimekosea, jibu hoja yangu badala ya kucheka. Relativity haijathibitisha kwamba mwanadamu amegundua siri yote ya muda wala kwamba anaweza kurudi nyuma katika historia. Lete hoja, sio emoji.
 
Hapo umezungumzia mambo ya dimensions na quantum mekaniks. Nadhani hapa Eistein alikuwa akizungumzia 4th dimension.

Kiufupi sana, nikiona andiko lako huwa najuwa tuko same page. Time travel inawezekana anayebisha ale ashibe vizuri nianze kumwelezea.
Sibishi nataka u-time travel, basi. Rudi mpaka siku ya uhuru wa Tanganyika.
 
Back
Top Bottom