Pre GE2025 Je, timu Tundu Lissu wakishindwa uchaguzi hapo kesho 21/01/2025 wataibukia CHAUMA?

Pre GE2025 Je, timu Tundu Lissu wakishindwa uchaguzi hapo kesho 21/01/2025 wataibukia CHAUMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Naona wafuasi wengi wa TAL wamekuwa wakipost kuashiria kuwa huenda wakajiunga na CHAUMA kwa mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe. Ingawa TAL mwenyewe alishasema kuondoka CHADEMA labda wamtimue.
Screenshot 2025-01-20 194613.png


Je inaweza kuwa karata nzuri?

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Popote atakapoenda Tundu Antipas Lissu, timu Lissu watapa-promote mpaka watanzania wapaelewe na kupata uungwaji mkono kwa wingi kutoka kwa watanzania.
 
Back
Top Bottom