T the guardian 17 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 395 Reaction score 570 Jan 20, 2025 #1 Naona wafuasi wengi wa TAL wamekuwa wakipost kuashiria kuwa huenda wakajiunga na CHAUMA kwa mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe. Ingawa TAL mwenyewe alishasema kuondoka CHADEMA labda wamtimue. Je inaweza kuwa karata nzuri? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Naona wafuasi wengi wa TAL wamekuwa wakipost kuashiria kuwa huenda wakajiunga na CHAUMA kwa mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe. Ingawa TAL mwenyewe alishasema kuondoka CHADEMA labda wamtimue. Je inaweza kuwa karata nzuri? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Gamic JF-Expert Member Joined Jun 24, 2021 Posts 1,156 Reaction score 2,271 Jan 20, 2025 #2 Popote atakapoenda Tundu Antipas Lissu, timu Lissu watapa-promote mpaka watanzania wapaelewe na kupata uungwaji mkono kwa wingi kutoka kwa watanzania.
Popote atakapoenda Tundu Antipas Lissu, timu Lissu watapa-promote mpaka watanzania wapaelewe na kupata uungwaji mkono kwa wingi kutoka kwa watanzania.