Je, Top lemon plus inachubua?

Yaani o level ulikuwa unatumia hii wewe utakuwa ulikuwa mcharuko Sana[emoji16]
[emoji2]
Kwanini umehisi alikiwa ni mcharuko,, au inachubua kama swali lilivyoulizwa?
 
Kwanini umehisi alikiwa ni mcharuko,, au inachubua kama swali lilivyoulizwa?
Unawajua wale binadamu Wana rangi zaidi ya tatu mwilini? Ndio matokeo ya top lemon....!Mwambie atumie Nivea cocoa butter body lotion Ni best one...hatojuta
 
Unawajua wale binadamu Wana rangi zaidi ya tatu mwilini? Ndio matokeo ya top lemon....!Mwambie atumie Nivea cocoa butter body lotion Ni best one...hatojuta
Asante kwa ushauri,, nitaenda kuitafuta hiyo Nivea na vipi bei yake
 
Mazuri kwa nani?

Kila mafuta yana uzuri wake

Ukiweka list ya top five
Pengine inanifaa mimi na wateja wangu,

Wewe uzuri wa mafuta kwako ni upi?
Ok List ya mafuta unayouza sana kwa wateja wako,

1...Wakike

2...Wakiume
 
Golden glow

Pure britain

Lumine

Q7

E45
 
Hii alikua anapaka Mom enzi hizo kibinti
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nenda IG @sweetmozuu anauza lotion nzuri sana sana mambo ya Dubai
Ukitaka ya kuwa mwarabu pia ipo
Ukitaka ya kiAfrica zipo
Nimemfahamu tangu 2015
Nanunua kwake lotion nina rangi chocolate adimu sana
0714514154
 
Jamani tupo 2023 bado tu kuna watu wanatumia hii kitu πŸ˜‚πŸ˜‚ hii mafuta ilikuwa inatamba miaka kumi imepita hiyo harufu sasa changanya na maji yake πŸ˜‚πŸ˜‚
Si kumi tu na zaidi
 
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…