Je ukisema ukalale igunga ???Ili kudumisha maisha ya Gari yako, nashauri pumzika Singida then Ingia Mwanza kesho yake utafika poa kabisa. Mi Ki Ipsum changu nilitoka Iringa nikalala Tabora kesho yake Mwanza tena Sengerema sikuona utofauti wowote mpaka sasa nadunda tu hapa Iringa.
Ulale igunga kutafuta nini labda km unahawala igungaJe ukisema ukalale igunga ???
Inbox tena...si umwage mchele hapa tupanda kisbo mzee, utakuja jutia ukitaka kuamini nifuate inbox
Mkuu inbox za nn..weka vitu hadharani...panda kisbo mzee, utakuja jutia ukitaka kuamini nifuate inbox
kuna mtu kasema piston atazikuta kwenye bonet, namuunga mkonoMkuu inbox za nn..weka vitu hadharani...
usimchomeshe mwenzio, ist sio GX100 ujueInatoboa mwanza mapema sana mkuu hata usiwaze kabisa mwanza mapema sana bila touch mwanza masaa 9
1. Aweke ata kama haijafika muda wa kubadiliInatoboa bila tatizo, Kitu cha kuzingatia
- Aweke engine oil mpya
- Aweke Coolant ya kutosha
Kaka hii gari nimeipeleka mwanza haina shida kabisausimchomeshe mwenzio, ist sio GX100 ujue
Inatobo vizuri Sana. Mie nina Kavits. Napiga nako safari balaa. Dom to dar afu nageuza nako kesho yake. Dar to arusha kama Kawa. Haina shida
Kwa safari ndefu, ni vyema ukafanya hivyo. Lengo ni kuhakikisha engine inakuwa vyema kwa miaka mingi.Aweke ata kama haijafika muda wa kubadili
Iwe kwenye level inayotakiwa kwenye kile kitanki chake, hivyo akague kwanza level ya coolant.1. Aweke ata kama haijafika muda wa kubadili
2. Coolant ya kutosha inamaanisha nn mkuu..kwamba aweke nyingi au
Mkuu gari yoyote kabla ya kuanza safari hivyo vitu unahitajika kuvikaguwa kabla ya safari msimtishe mwenzenu bhanaIwe kwenye level inayotakiwa kwenye kile kitanki chake, hivyo akague kwanza level ya coolant.