amatolo
JF-Expert Member
- Jul 24, 2017
- 690
- 712
SawaKaka hii gari nimeipeleka mwanza haina shida kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaKaka hii gari nimeipeleka mwanza haina shida kabisa
Hatutishani, Bali tunakumbushana vitu vya msingi, Na kuondoa hofu aliyonayo mleta mada.Mkuu gari yoyote kabla ya kuanza safari hivyo vitu unahitajika kuvikaguwa kabla ya safari msimtishe mwenzenu bhana
Hii gari niliipeleka SIMIYU via MWANZAHatutishani, Bali tunakumbushana vitu vya msingi, Na kuondoa hofu aliyonayo mleta mada.
Karibu kiongozi
Tuambie inakula lita ngapi kwa kilometa . Then Mwanza ni kilometa 120, na utueleze ujazo wa tank lako la mafuta, hapo ndo utajua kama utatoboa ama hutatoboa ukiweka mafuta kiasi gani. Kama ni masuala ya mechanical mcheki fundi kwanza akufanyie safari checkup. Otherwise sijui kama una uzoefu wa sfari ndefu pia.Habari wanajamvi,
Nimetokea kuipenda sana gari toyota IST. Kilichonifanya niipende ni ulaji wake wa mafuta, haina gharama kwenye mafuta. Sasa swali langu je mtu akiamua kusafiri na IST kutoka DAR kwenda Mwanza atatoboa?
Nisaidieni please. Kama kuna mwenye ushauri pia niambieni
yawezekana ukatoboa lkn life span yake itakuwa mashakani,gari hiyo ni ndogo sana kuhimili miles/km hizo kwa siku 1Ili kudumisha maisha ya Gari yako, nashauri pumzika Singida then Ingia Mwanza kesho yake utafika poa kabisa. Mi Ki Ipsum changu nilitoka Iringa nikalala Tabora kesho yake Mwanza tena Sengerema sikuona utofauti wowote mpaka sasa nadunda tu hapa Iringa.
Cc ngap ndo zinaruhusiwa kufika mwanza frm Daryawezekana ukatoboa lkn life span yake itakuwa mashakani,gari hiyo ni ndogo sana kuhimili miles/km hizo kwa siku 1
Mkuu angalia vizuri hapo kwenye umbali wa(kilometa 120) Dar to Mwanza.Tuambie inakula lita ngapi kwa kilometa . Then Mwanza ni kilometa 120, na utueleze ujazo wa tank lako la mafuta, hapo ndo utajua kama utatoboa ama hutatoboa ukiweka mafuta kiasi gani. Kama ni masuala ya mechanical mcheki fundi kwanza akufanyie safari checkup. Otherwise sijui kama una uzoefu wa sfari ndefu pia.
Lakini la mwisho jiuluze hizo IST zilizopo mwanza zilibebwa ama zilipaa? Fikiri kabla hujauliza.
uhalisia---sio kama hutafika lkn usalama wa gari yako kwa kwenda km /miles nyingi bila kupumzisha engine hilo ndo tatizo.nadhani hata vitu vyote vikiwa fine mfano coolant,water in radiator,oil nk nk baada ya distance dash board indicator ya heat itakuwa highCc ngap ndo zinaruhusiwa kufika mwanza frm Dar
Kwani mkuu imeandikwa kweny user manual itembee km ngapi kwa Sikh 1yawezekana ukatoboa lkn life span yake itakuwa mashakani,gari hiyo ni ndogo sana kuhimili miles/km hizo kwa siku 1
sina uhakika ila nina experience ya gari kama tatu hivi platz,ist na funcargo ambazo zilisafiri km nyingi non stop zilivyofika dar hazikuwa gari tenaKwani mkuu imeandikwa kweny user manual itembee km ngapi kwa Sikh 1
Inatoboa bila wasiwasi na consuption ya mafuta ipo chini sana cha muhimu ni kuzingatia serviceHabari wanajamvi,
Nimetokea kuipenda sana gari toyota IST. Kilichonifanya niipende ni ulaji wake wa mafuta, haina gharama kwenye mafuta. Sasa swali langu je mtu akiamua kusafiri na IST kutoka DAR kwenda Mwanza atatoboa?
Nisaidieni please. Kama kuna mwenye ushauri pia niambieni
zikawaje? So unamaanisha IST ni kama mikoba wanayobeba wakina mama..sina uhakika ila nina experience ya gari kama tatu hivi platz,ist na funcargo ambazo zilisafiri km nyingi non stop zilivyofika dar hazikuwa gari tena
issue hapa ni mzigo mkubwa uwezo mdogo......ukiamua kusafiri kwa kupumua km 200-300 unapumua then 200-300 unapumua hapo gari yako poa kabisa ila ukitaka kutoboa in a day umeua garizikawaje? So unamaanisha IST ni kama mikoba wanayobeba wakina mama..