Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Jamaa liongo wewe!sina uhakika ila nina experience ya gari kama tatu hivi platz,ist na funcargo ambazo zilisafiri km nyingi non stop zilivyofika dar hazikuwa gari tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa liongo wewe!sina uhakika ila nina experience ya gari kama tatu hivi platz,ist na funcargo ambazo zilisafiri km nyingi non stop zilivyofika dar hazikuwa gari tena
Sasa uongo wake upi?? Hapo si katumia wastan wa saa 5 Hadi 6Kumbe ni kweli " hakuna dreva mkweli "kuna jamaa katwambia humu eti katoka dar SAA 9 alfajiri alafu saa moja asubuh yuko Dodoma huku ana ist aiseee
Yaani mtu anatumia 250,000 kwa ajili ya mafuta kisa tu atumie private car. Kwanini usitumie mabasi? 40,000 tu. Na 5000 ya kula njiani
Yaani mtu anatumia 250,000 kwa ajili ya mafuta kisa tu atumie private car. Kwanini usitumie mabasi? 40,000 tu. Na 5000 ya kula njiani
Flilexibility & Comfortability.Yaani mtu anatumia 250,000 kwa ajili ya mafuta kisa tu atumie private car. Kwanini usitumie mabasi? 40,000 tu. Na 5000 ya kula njiani