Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

Yaani mtu anatumia 250,000 kwa ajili ya mafuta kisa tu atumie private car. Kwanini usitumie mabasi? 40,000 tu. Na 5000 ya kula njiani

mkuu unakula njiani 5000!!! [emoji23] wewe utakuwa bahili sana,
maji chupa ndogo 2 au chupa kubwa moja 1000
chips kuku/ wali kuku kama 6500 hivi
bajaji/boda boda kama 4000 hivi
yani hii ni hesabu ya haraka haraka,emu tupe matumizi yako ya njiani kama hutojali mkuu huenda tukaelewa
 
Yaani mtu anatumia 250,000 kwa ajili ya mafuta kisa tu atumie private car. Kwanini usitumie mabasi? 40,000 tu. Na 5000 ya kula njiani

na kuhusu kutumia private car,kama umemsoma jamaa vizuri anadai anapofika Mwanza huwa ana mizunguko hivo basi huenda ndio sababu anaamua kutumia private car, hata mimi siku nikiwa na gari nitakuwa naendesha tu kuliko kupanda mabasi
alafu bora huyo,mimi mzee wangu kipindi hajanunua gari enzi za ujana wake alikuwa akikodi taxi inamtoa wilaya moja hadi nyingine na kumrudisha tena home,yani anamlipa dereva taxi mfano amtoe Arusha hadi Moshi na akamsubiri hadi amalize mizunguko yake Moshi na badae amrudishe Arusha
 
Yaani mtu anatumia 250,000 kwa ajili ya mafuta kisa tu atumie private car. Kwanini usitumie mabasi? 40,000 tu. Na 5000 ya kula njiani
Flilexibility & Comfortability.

Ukiwa na private unaweza ukalala popote na muda wowote.

Sehemu ya kula badala ya kukimbizana zile dk 10 unaweza kukaa hata nusu saa.

Kama ni mtu wa kununua vitu njiani utanunua tani yako ukiwa na private.

Hata mwendo unachagua mwenyewe tofauti na kwenye basi.
 
Brooh wangu hua anatumia IST yake Dar to Dom mara nyingi tuu,
 
Back
Top Bottom