MoshiNa ww ulivyofika singida uliunganisha hadi wapi
Ni moja ya gari bora sana.tumia gari kijana.ulaji was mafuta in mzuri sana,ni nzito barabarani na INA mwendo sanaHabari wanajamvi,
Nimetokea kuipenda sana gari toyota IST. Kilichonifanya niipende ni ulaji wake wa mafuta, haina gharama kwenye mafuta. Sasa swali langu je mtu akiamua kusafiri na IST kutoka DAR kwenda Mwanza atatoboa?
Nisaidieni please. Kama kuna mwenye ushauri pia niambieni
Ni nzito mkuu...kama sport car au unamanisha nn?Ni moja ya gari bora sana.tumia gari kijana.ulaji was mafuta in mzuri sana,ni nzito barabarani na INA mwendo sana
Ndio feni zinakuwa zinawaka ila upulizaji wa feni ya ac unapokuwa umewasha unakuwa mdogo ila mvumo wa gari ndio utaona umeongezeka na mshale wa rpm kama gari yako inauo mshale huo itaona umepanda kidogo either kufikia kwenue moja au juu ya moja ni tofauti na upulizaji wa feni pindi maji yanapokuwa yamepata moto na yanahitaji kupoozwa kwenye rejeta feni inapuliza kwa kasi zaidi na mvumo wa gari utabakia vile vile ila mvumo wa feni ndio itausikia zaidi na mshale wa rpm hautapanda utabaki pale pale ulipokuwepo kama gari ilo silence hautapanda wa hautashuka ila mvumo wa feni ndio utausikia imeongeza kumbuka ac inatumia zaidi compresor na condensor katika kuleta hewa ya baridi ndani ila kumbuka mfumo wa ac hata kama umeiwasha muda wote na gari unaitumia kufuta utaratibu nilioelezea hapo juu haina madhara yoyote kwenye gari yako.Ukiwasha A.C feni huwa zinazuguka na kupumzika kwa muda mfupi..
Dar to mwanza sio mahali pa kulala njiani.anza safari yako mapema SAA 11 asu buhiJe ukisema ukalale igunga ???
Nzito kama umeshindilia mizigo, hata hivyo ukipashana na basi lazima kiyumbe hata kama umejaza mizigoNi moja ya gari bora sana.tumia gari kijana.ulaji was mafuta in mzuri sana,ni nzito barabarani na INA mwendo sana
Kuna gari ambazo no nyepesi sana njiani haswa zikifika 120kph Ila kwa ist hiyo kitu hamnaNi nzito mkuu...kama sport car au unamanisha nn?
Nimekua nasafiria ist toka ushirombo to dar zaidi ya mara 3 na bado ipo fresh,yangu ni cc 1490,kuna mtu kasema piston atazikuta kwenye bonet, namuunga mkono
Maximum ni km 680. Inategemea na singida sehemu gani haswa unaendaMkuu naomba unambie kutoka dar hadi singida ni km ngp ????
Ist si nzito usitudanganye..Kuna gari ambazo no nyepesi sana njiani haswa zikifika 120kph Ila kwa ist hiyo kitu hamna
Amen na karibu sana kama una swali lolote kuhusu magari nitajitahidi kukujibu.mkuu Asante kwa maelezo mazuri,ubarikiwe
Asante mkuuAmen na karibu sana kama una swali lolote kuhusu magari nitajitahidi kukujibu.
Tuambie engine oil nzur inayofaa kwa sport carsAmen na karibu sana kama una swali lolote kuhusu magari nitajitahidi kukujibu.