Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Habari wadau.
Nilipita mtandaoni kumchekia ndugu yangu gharama za kuagiza gari yake binafsi. Sasa nimeingia katika calculator ya TRA naona vitu tofauti kabisa.
Sehemu za kujaza zimeongezeka na wanataka hadi jina (optional), namba ya simu na email.
Ukishajaza sehemu zote ukasubmit taarifa zako haupati review ya kodi muda huo huo. Bali yanatokea maelekezo kukujuza kuwa maombi yako yamepokelewa na TRA watakujibu baada ya muda.
Sasa hii imenichanya nimemwambia ndugu yangu asubirie nimtafutie majibu maana sijawahi kuona hii kitu mara ya mwisho nilipoingia.
Nitaambatanisha muonekano wa sasa na ujumbe niliowekewa baada ya kusubmit taarifa .