Je, TRA wamebadili utaratibu wa on-line calculator yao?

Je, TRA wamebadili utaratibu wa on-line calculator yao?

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,095
Reaction score
22,731
Habari wadau.

Nilipita mtandaoni kumchekia ndugu yangu gharama za kuagiza gari yake binafsi. Sasa nimeingia katika calculator ya TRA naona vitu tofauti kabisa.

Sehemu za kujaza zimeongezeka na wanataka hadi jina (optional), namba ya simu na email.

Ukishajaza sehemu zote ukasubmit taarifa zako haupati review ya kodi muda huo huo. Bali yanatokea maelekezo kukujuza kuwa maombi yako yamepokelewa na TRA watakujibu baada ya muda.

Sasa hii imenichanya nimemwambia ndugu yangu asubirie nimtafutie majibu maana sijawahi kuona hii kitu mara ya mwisho nilipoingia.

Nitaambatanisha muonekano wa sasa na ujumbe niliowekewa baada ya kusubmit taarifa .
Screenshot_20220927-140705.jpg
 
Samcezar ulichokosea, wewe ulifungua iyo calculator hafu ukabonyeza pale chini kabisa ambapo nimeweka hapa:

View attachment 2369670

Yaani hapo mfano gari unalolitaka halipo hapo kwenye list yao. Unajaza details wao watakucheki kwa email.
Sijagusa hapo. Nikiwa katika ile Page ya google search results kikaselect page ya kwanza kabisa ndio ikaja hivyo.
 
Kuna link niliyoingilia ndio ilikuwa inanipa wakati mgumu. Ila nimeshagundua shida ilikuwa wapi.
 
Back
Top Bottom