Je, TRA wameruhusiwa kuajiri wenyewe? Tunaenda mbele hatua 2 tunarudi nyuma hatua 10

Je, TRA wameruhusiwa kuajiri wenyewe? Tunaenda mbele hatua 2 tunarudi nyuma hatua 10

Tatizo hii nchi sasa hivi ni kama vile Rushwa imekuja kwa kasi ya Kimbunga. Nlishangaa sana ajira za nafasi ya Polisi zilipotangazwa kuna mdau alitakiwa kutoa milioni moja ili mwanae apate nafasi ya kujiunga. Sasa kama nafasi za Polisi rushwa inatembea sijui kwa TRA na taasisi nyingine itakuwaje.

Kadhalika hizi connection wanazofanyiwa watoto wa viongozi waliopo kwenye mamlaka kupata kazi bila ku-struggle kwenye interview ndio kunasababisha hata kusiwe na mikakati ya ziada kutengeneza ajira kwa vijana nchini. Laiti kama viongozi wangeruhusu fare competition katika ajira basi wangeona ni kwa namna gani vijana wanateseka kutafuta ajira. Watoto wengi wa viongozi hupata kazi tu pale wanapohitimu masomo yao ya chuo ndio maana issue ya high level of unemployment nchini kwao wanaona kawaida tu. Au kiongozi anaongea simple simple tu kuwa vijana wajiajiri. Ila Mwanae unakuta kamtaftia chaka la kazi sehemu.
Wataingia kwenye hizi taasisi Kwa kigezo cha kujitolea
 
Exposure ya Nini?
Unaajiri mtu hajui mfumo hata mmoja wa serikali. Anafika unaanza kumfundisha.

Unaajiri mtu hata computer hajui kuwasha anakuja unaanza kumfundisha kutype barua.

Unaajiri mtu hajui taasisi inafanya vip kazi (Kuna mtu alikosea ofisi ya kuripoti) mfn umejairiwa TBS ila unaenda kuripot TMDA.
 
Hayo maswali yaweke kwenye interview ili umchuje fairly
 
Wakina kamlete watajazana kibao.Utumishi ndio sababu watoto wa wakulima nao wapo kwenye tasisi kubwa kwani intv zinakuwa fair,ila kwa sasa wale wataingia kwa mlango wa internship.
 
Wacha waajiri wenyewe.

PSRS wanapeleka watu hawana akili na uwezo.

Psrs wanabebelea tu limtu from no where.. kwa kigezo cha mtoto wa mkulima ila exposure, experience etc yupo chini ila siasa ndio inatawala.
Kwani hao watu hawafanyiwi interview pamoja na nyie wenye exposure na experience?
 
Nimeona tangazo la kazi za TRA. Kwa Sasa inaonekana wataajiri wenyewe bila kupita Utumishi.

Je, watoto wa Mamantilie watapita? Nakumbuka enzi za Dkt. Slaa na majina ya watoto wa vigogo BOT.

Yajayo yanafurahisha.
Umekumbuka shuka kumekucha,hizo ajira zimeishajaa,bila kushikwa mkono Sasa hv,hupati kitu
 
Interview za PSRS hazichuji ila zinapima.

Zinapima uwezo wa kukariri na kuandika haraka.

Wajanja washawajulia hata namna ya kujibu..
Unaongea ila kama ungekuwa unafanya kazi na watumishi before na after Utumishi ndipo utakapojua.

Utumishi walikuwa wanachukua watu walioiva,ninafanya kazi na maIT kibao najua ninacho kiongea basics tu hizi mtu hajui, matokeo yake kazi yake unamfanyia ww,ili uwahi kumaliza kazi yako ukafanye mambo mengine.

Ila madogo waliopita Utumishi wengi ni wazuri.
 
Taasisi zinalalamika kupelekewa vilaza, ishu si nani aajiri ila quality ya unaowachukua je ina standard?

Recruitment ya PSRS na organization zinazojielewa kama Banks hizi mfn CRDB ni tofauti sana.
 
Back
Top Bottom