Ishu sio kupita ktk hizo level ishu unampima mtu kulingana na nini?
Umesema una interact.. una interact nao ktk aspect ipi hasa mpk ujue huyu alipitia psrs na huyu ni competent ?
Kiuhalisia si wote watakaopita PSRS watakuwa wabovu/Wazuri.
Taasisi kuajiri wenyewe mie naona ni sahihi sana. Wapewe power wachukue wanaowataka.
Mbona majeshi wanaajiri wenyewe? Why? Wanauspesho gani wale?
Majority ya mdogo ni wazuri,halafu mbona PSRS Utumishi imeanza juzi bila shaka wajiliwa wapya chini ya Utumishi watakuwa ni vijana.
Kuwapima unampima unapofanya nae kazi real task,ambayo mimi nina part yangu na yy anapart yake. Sasa hapo ndipo unapojua uwezo wa mtu na baada ya kuinteract nae ndipo utajua vitu vingi kumuhusu yy.
Ukifanya kazi na mtu mwenye age 38+ mara nyingi kazi inakuwa ngumu upande wako sababu inabidi ufanye mpaka kazi yake na wengine hufikia hatua hata ya kutoa hela, unatenga mda unamwelekeza hana hata zile basics hana mpaka anashindwa kukishika unacho mwelekeza.
Unafanisha jeshi na Utumishi kweli upo sawa ndugu yangu maana ni vitu viwili tofauti. Jeshi wanacho hitaji ni Nidhamu na Uzalendo,ukiwa navyo hivyo yoyote anaweza kuwa Mwanajeshi as long uwe kuanzia 4m4 na kuendelea.
Unazungumzia IT,ambaye unamwachia mfumo au auendeshe ina maana huyu utampima sawa na unavyo mpima mwanjeshi?
Halafu kama hujui, kupitia hawa kamlete kuna wengine wanapelekwa training nje kusomea kitu fulani ila akirudi ukimwambia aimplement alicho kisoma anashindwa,matokeo yake serikali inapoteza hela, wewe hujui ila sisi tunao interact nao tunaona vituko mpaka unachoka.