Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

rates zinachange ndio na ni kulingana na specifics za gari husika kama hiyo ya 2018 na 2017 haziwezi zikawa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee si uende ukacheki kama ni ukwel au uongo? Binafsi nimechek gar zimeshuka kwa kias kikubwa

Wakuu toyote rush sijaiona kwa upande wa calculator ya tra hivi mpaka mkonon ni bei gan kwa calculator za tra
 
Sitaki aongoze nje ya muda uliowekwa kikatiba.

Its not rocket science.
Mda uliowekwa kikatiba ni upi kwa muktadha wa Mama Samia
This is so abecedarian. Unless of course if you are a wildebeest 🤣.

Ni hivi, akimaliza muhula huu, anaruhusiwa kugombea tena 2025.

Akiamua kugombea tena hiyo 2025 na endapo atashinda, basi urais wake utakoma 2030 na kikatiba hatoruhusiwa tena kuwa Rais.

Kuna ugumu katika kuelewa hilo?
sasa waliosema aendelee walikuwa na maana ipi?
1. kuendelea baada 2025?
2 kundelea baada 2030?
3. kuendelea bila ukomo?
 
Mda uliowekwa kikatiba ni upi kwa muktadha wa Mama Samia

sasa waliosema aendelee walikuwa na maana ipi?
1. kuendelea baada 2025?
2 kundelea baada 2030?
3. kuendelea bila ukomo?

Kawaulize wao.
 
Aacha ni zame kwenye calculator ya TRA nione kama kweli au yaleyale
 
Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi.

Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March.

View attachment 1752100

Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa chini ni leoView attachment 1752101View attachment 1752102
Tofauti karibu Mil15 yote dah. Mama SSH asante sana. Sasa na mimi ntamiliki gari​

IMG_0797.jpg

IMG_0798.jpg

IMG_0799.jpg

IMG_0800.jpg
 
Punguzeni ushuru enyi viongozi, kwanini mnatuumiza wananchi!! Hivi mnazionea raha gani pesa za dhulma!! Kwa Mwenyezi Mungu mtakua na lakujibu, nitaonekana mjingq lakini ukweli nimefikisha.
 
Back
Top Bottom