Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mkuu naomba ya IST please......Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi.
Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March.
View attachment 1752100
Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa chini ni leoView attachment 1752101View attachment 1752102
Tofauti karibu Mil15 yote dah. Mama SSH asante sana. Sasa na mimi ntamiliki gari