Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Lini sikujua idadi tuliyopo?Leo ndio mnajua kwamba tupo M60? Nilitegemea kwamba ile slogan yetu ya rais kuongezewa muda itaendelea kumbe mnaakil
Hivi IQ zenu ni kiasi gani nyie nyumbu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini sikujua idadi tuliyopo?Leo ndio mnajua kwamba tupo M60? Nilitegemea kwamba ile slogan yetu ya rais kuongezewa muda itaendelea kumbe mnaakil
Kama unaona nawafokea....utanifanya nini sasa?
Aiseee ni kweli. Nimeenda kutazama kweli gari nyingi ushuru wa TRA umeshuka..... Nimetazama maana kuna gari ilikuwa ukijumlisha na ushuru inaenda 29 but now ukiplus na ushuru ipo katika 14 milioniSio kweli hizi taarifa tulizoletewa naona ni matango pori. Kikokotoo ni kile kile hakijabadilika.
🤣🤣Nyumbu tumeungana nao kutaka Samia aongezewe muda
Mkuu hawa watu ni wakuhurumiwa tu![emoji1787][emoji1787]
Hizi IQ za hawa nyumbu ni kiasi gani?
Zipo kwenye negatives labda?
Mbona nimecheki kwenye TRA valuation system naona kodi iko vile vile. Bei ya gari mwaka jana na mwaka huu april gharama ni zile zile hazijapungua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, dah kudadadeki zako hadi nimepaliwa na soda sababu yako nyau wewe.Kama unaona nawafokea....utanifanya nini sasa?
I’ll whup your ass like you stole my money, bitch boy.
ThanksSasa unajua CIF wanavyokadiria TRA mkuu? Tuanzie hapo kwanza
Yaaani TRA wanakuwa na makadirio yao labda tuseme 13,000 dola halafu wewe ukinunua 10,000 manaake unalipa kodi ya 13,000 ila ukinunua 15,000 basi unalipa kodi kwa hiyo 15,000
Sasa kilichotokea ile makadirio ya TRA yameshuka toka 26,000 mpaka 13,000 huo ndio msingi wa hoja yangu
Tu nacho lala nikawa siku zote ni MAKADIRIO kuwa juu kuliko uhalisia
Nadhani umenielewa. Hiyo CIF hapo sio mimi niliyeweka(kutokana na bei ntakayonunua) hiyo ni makadirio ya TRA
Usipende sana kucheka cheka kama banshee aliye kwenye heat...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, dah kudadadeki zako hadi nimepaliwa na soda sababu yako nyau wewe.
Dah jamaa umenijua kunivunja mbavu leo.... Dah.....
Huo msemo lazima nije nimpe konda kwenye daladala siku moja au mtu akinizingua kunichomekea kwenye foleni barabarani.
Eti wup your ass like u stole my money.... Dah nimecheka balaaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa isije ikawa "system ina matatizo"Aiseee ni kweli. Nimeenda kutazama kweli gari nyingi ushuru wa TRA umeshuka..... Nimetazama maana kuna gari ilikuwa ukijumlisha na ushuru inaenda 29 but now ukiplus na ushuru ipo katika 14 milioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh half price!Aiseee ni kweli. Nimeenda kutazama kweli gari nyingi ushuru wa TRA umeshuka..... Nimetazama maana kuna gari ilikuwa ukijumlisha na ushuru inaenda 29 but now ukiplus na ushuru ipo katika 14 milioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeweka IST mwaka jana kodi ilikuwa 5M na leo nimeweka tena gari kama hiyo hiyo kodi ni 5.1M. Ndio maana nime
Jamaa umenichekesha sana. Kuna jamaa m'moja wa marekani anaitwa Martin, basi ndio nika imagine amezungumza hayo maneno. Nikacheka balaa.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah... Shenzi sana....Usipende sana kucheka cheka kama banshee aliye kwenye heat...
Dunia ishaharibika hii. Utaja ombwa na visivyoombwa.
Shauri yako.
Nenda kacheki mzee me nimeona kiukweli nimeona imeshuka... Na hata CIF yake sio ile ya mwanzo kwa TRA.Hahahaaa isije ikawa "system ina matatizo"
Siamini mimi. Leo nalipia ngoja niiagize hii gari
Niliyocheck Mimi Mark X imepungua kwa 1.5m nzima.
Kabisa mkuu..... Haipo kama nilivyocheki last time.....Duh half price!
Poa poa mkuuNenda kacheki mzee me nimeona kiukweli nimeona imeshuka... Na hata CIF yake sio ile ya mwanzo kwa TRA.
Sent using Jamii Forums mobile app