Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

Huu jamani ni utani! yaani hiyo gari imenunuliwa kwa kiasi gani?
Sasa inategemea na bei utakayonunua mwenyewe huko unakoagiza zipo hadi za Rand 230,000( $16,000) mpaka Rand lak 5 ni uchaguzi wako tu

Kama mimi niliyochagua ni ya $18,000 na ndo itapigiwa ushuru hapo na sio $26,000 kama ilivyokua February
 
Bado Mafuta haiwezekani mtu ananunua Petrol Rwanda bei Rahisi kuliko Dar
Mafuta tunapigwa sana. Kama watu hawakushtuka kile kipindi cha corona ambapo mafuta yalikuja kwa bei sawa na bure ila hawa machoko wanaouza mafuta still wakauza kwa bei za kikahaba za juu then sijui watanzania tuna akili gani.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inafurahisha kwakweli hii ndio Tanzania tunayoitaka. Gari sio anasa,gari ni chombo muhimu kurahisisha shughuli za kiuchumi. Naomba na marekebisho mengine kwenye kodi yawe hivi hivi.

Hii ni Ford Ranger kabla ya mwezi March.

View attachment 1752100

Mabadiliko kidogo yalifanyika lakini yana unafuu mkubwa. Hii hapa chini ni leoView attachment 1752101View attachment 1752102
Tofauti karibu Mil15 yote dah. Mama SSH asante sana. Sasa na mimi ntamiliki gari​
sijawahi kuelewa why waliongeza kodi kwenye hii?
kulikuwa na haja gani?
 
Mama SSH nimemkubali sanaa,kuna gari wakati wa JIWE kodi ilikuwa 6m ila sasa nimeona ni 4.5m....#SSH_MIKUMI_TENA_MATHA(MAKE TANZANIA HAPPY AGAIN).

JIWE alikuwa hataki watu wapate raha,alikuwa anataka watu waishi kama mashetani.
Mbona nimecheki kwenye TRA valuation system naona kodi iko vile vile. Bei ya gari mwaka jana na mwaka huu april gharama ni zile zile hazijapungua.
 
Gari gani mkuu tuangalie
Mbona nimecheki kwenye TRA valuation system naona kodi iko vile vile. Bei ya gari mwaka jana na mwaka huu april gharama ni zile zile hazijapungua.
 
Sio kweli hizi taarifa tulizoletewa naona ni matango pori. Kikokotoo ni kile kile hakijabadilika.
Una uhakika mkuu???

Mimi nimeweka gari moja hapo niliyokua na taarifa zake

Kuna mtu kaweka ya IST hapo imepungua elfu 50

Na kuna mtu kaweka ya Range Rover December mwaka jana mil 66 nimemuangalizia ya leo ni mil64 imepungua mil 2

Tuwekee yakwako ya mwaka jana tuangalie sasa hivi
 
sijawahi kuelewa why waliongeza kodi kwenye hii?
kulikuwa na haja gani?
Ili wafikie malengo labda hata sijui sababu ya msingi

Fikiria hiyo gari inauzwa kati ya $12,000 mpaka 18,000 ila wao waliweka $26,000 sio hela kidogo hizo.Hiyo ni tofauti kubwa sana. Kwahiyo mtu mwenye CIF $12,000 alilazimika kulipia kodi ya $26,000

Nafuu sasa hivi kama mtu akilipata kwa $12,000 analipia kodi ya $13,000 na mtu atakayepata gari ya $18,000 atapambana na kodi yake kubwa kwa $18,000 sio 26,000
 
Mama atawale mpaka 2030,yupo vizuri. Watz tukipata kiongozi mzuri tusimwachie. Mfano wajerumani wamempa muda wa kutawala wa kutosha kiongozi wao Kansela Bi Angela Merkel. Kwa kuwa ni kiongozi mzuri.
 
Una uhakika mkuu???

Mimi nimeweka gari moja hapo niliyokua na taarifa zake

Kuna mtu kaweka ya IST hapo imepungua elfu 50

Na kuna mtu kaweka ya Range Rover December mwaka jana mil 66 nimemuangalizia ya leo ni mil64 imepungua mil 2

Tuwekee yakwako ya mwaka jana tuangalie sasa hivi
Mkuu nimeweka IST mwaka jana kodi ilikuwa 5M na leo nimeweka tena gari kama hiyo hiyo kodi ni 5.1M. Ndio maana nime
 
Kwa nini?

Ni kwamba kati ya Watanzania takriban milioni 60, ni yeye tu mwenye kuiweza hiyo kazi mpaka alazimishwe kuifanya hata kama hataki?

Fikra dhaifu sana hizo katika karne hii ya 21!
kwani wakati mnalipigia jiwe debe ya "aongezewe muda" hamkulijua hilo?.
 
mbona mwenda zake mlikua mnamlazimisha atawale milele? wacha na sisi raisi wetu mama tumwongezee muda
Muongo wewe. Mzushi wewe!

Hakuna hata sekunde moja nilipo wahi kusema Magufuli atawale milele.

Kama ipo, nionyeshe.
 
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
[emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]
giphy.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom