RJ-White
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 744
- 752
Sasa unajua CIF wanavyokadiria TRA mkuu? Tuanzie hapo kwanza
Yaaani TRA wanakuwa na makadirio yao labda tuseme 13,000 dola halafu wewe ukinunua 10,000 manaake unalipa kodi ya 13,000 ila ukinunua 15,000 basi unalipa kodi kwa hiyo 15,000
Sasa kilichotokea ile makadirio ya TRA yameshuka toka 26,000 mpaka 13,000 huo ndio msingi wa hoja yangu
Tu nacho lala nikawa siku zote ni MAKADIRIO kuwa juu kuliko uhalisia
Nadhani umenielewa. Hiyo CIF hapo sio mimi niliyeweka(kutokana na bei ntakayonunua) hiyo ni makadirio ya TRA
TRA hawakadirii CIF. TRA wabakadiria kodi kutegemea na CIF value ya invoice. Na CIF values za magari yaliyo kwenye mfumo wa TRA ni provisional, wao watapiga kodi to the highest CIF value possible. Maana yake, kama wao wameweka CIF ni USD 10,000 then wewe ukaja na invoice ya CIF ya USD 12,000 basi kodi itapigwa kwenye 12. Lakini ukija na CIF less than waliyoweka kwenye mfumo wao, say uje na invoice ya USD 8,000 wao wanakupiga kwenye 10 ya mfumo.