Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

Aiseee ni kweli. Nimeenda kutazama kweli gari nyingi ushuru wa TRA umeshuka..... Nimetazama maana kuna gari ilikuwa ukijumlisha na ushuru inaenda 29 but now ukiplus na ushuru ipo katika 14 milioni

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay itakuwa basi ni kwa magari makubwa tu ya thamani kubwa. Hizi za akina kajamba nani Raum na
 
Niliyocheck Mimi Mark X imepungua kwa 1.5m nzima.
Binafsi nachoona mtu anapaswa kuwa makini sana anapoagiza gari ili asipate hasara.Point to note ni kwamba CIF inabadilika kwendana na Invoice husika ya gari,hvyo kama TRA wameshusha CIF value kwenye calculator yao na sio Tax rate-na wewe ukaagiza gari na invoice ya gari uliyoagiza ina CIF kubwa kuliko ya TRA shida ndipo inapoanzia hapa sababu TRA will go for higher CIF value.
*Jambo hili litakuwa na manufaa sana endapo TRA wataamua kuchukua CIF ya kwenye calculator yao pasipo kuangalia bei ya kwenye invoice-otherwise haya yote yatakuwa hayana maana zaid ya trap kwa mlipa kodi.
 
Watu wengi swala la kwanza hawalijui au kufanya utafiti ni kujua "range" ya bei ya hiyo gari

Ukishajua bei imaanzia wapi mpaka wapi ndo anakuja kwenye kikokotoo cha TRA unaangalia iko chini au juu ya CIF halisi baada ya hapo unajua kodi utakayolipa. Kwamba utalipa flat ya kikokotoo au utalipa kutokana na invoice kuwa juu(invoice ikiwa chini unarudi pale kwenye kikokotoo kinakuhusu)
 
Binafsi nachoona mtu anapaswa kuwa makini sana anapoagiza gari ili asipate hasara.Point to note ni kwamba CIF inabadilika kwendana na Invoice husika ya gari,hvyo kama TRA wameshusha CIF value kwenye calculator yao na sio Tax rate-na wewe ukaagiza gari na invoice ya gari uliyoagiza ina CIF kubwa kuliko ya TRA shida ndipo inapoanzia hapa sababu TRA will go for higher CIF value.
*Jambo hili litakuwa na manufaa sana endapo TRA wataamua kuchukua CIF ya kwenye calculator yao pasipo kuangalia bei ya kwenye invoice-otherwise haya yote yatakuwa hayana maana zaid ya trap kwa mlipa kodi.
Nadhani una nafasi ya kuongea na wauzaji wa magari kuhusu kukushushia bei ya gari ili iweze kuendana na evaluated amount.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti kukenua meno yenye kisamvu
😂😂 Jamaa haelewi kitu ila ana matusi balaa. Kweli stress sana hii JF

Sie wala visamvu hatutakiwi kuchangia humu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usijali utanunua hadi vi eite, Unaijua vieite wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado petroleum Bi mkubwa Ma V6 yanatutesa sana , tunayaendesha kwa kuchungulia mno
 
Maza Atake asitake lazima aongezewe, akikataa alazimishwe yule. Suluhu mikumi tena.
Mikumi ni hifadhi pia hakuna kiswahili cha idadi ya mikumi.Labda useme ''Mama atake asitake kumi zaidi''
 
Back
Top Bottom