Je, TRA wamesikia kilio chetu cha Ushuru wa kuingiza magari?

rates zinachange ndio na ni kulingana na specifics za gari husika kama hiyo ya 2018 na 2017 haziwezi zikawa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee si uende ukacheki kama ni ukwel au uongo? Binafsi nimechek gar zimeshuka kwa kias kikubwa

Wakuu toyote rush sijaiona kwa upande wa calculator ya tra hivi mpaka mkonon ni bei gan kwa calculator za tra
 
Sitaki aongoze nje ya muda uliowekwa kikatiba.

Its not rocket science.
Mda uliowekwa kikatiba ni upi kwa muktadha wa Mama Samia
sasa waliosema aendelee walikuwa na maana ipi?
1. kuendelea baada 2025?
2 kundelea baada 2030?
3. kuendelea bila ukomo?
 
Mda uliowekwa kikatiba ni upi kwa muktadha wa Mama Samia

sasa waliosema aendelee walikuwa na maana ipi?
1. kuendelea baada 2025?
2 kundelea baada 2030?
3. kuendelea bila ukomo?

Kawaulize wao.
 
Aacha ni zame kwenye calculator ya TRA nione kama kweli au yaleyale
 
Punguzeni ushuru enyi viongozi, kwanini mnatuumiza wananchi!! Hivi mnazionea raha gani pesa za dhulma!! Kwa Mwenyezi Mungu mtakua na lakujibu, nitaonekana mjingq lakini ukweli nimefikisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…