Je TRA wanatoza Ushuru wa ziada kwa Tairi Mpya zikiwa zimepakiwa ndani ya Gari kutoka Japan ?

strategist

Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
42
Reaction score
29
Wadau kuna Gari nataka kuagiza kutoka Japan lakini ajenti ameniambia litakuja na tairi mpya zikiwa zimepakiwa ndani ya gari, sasa swali langu ni kwamba, Je kuna ushuru wa ziada kwa zile Tairi zilizopakiwa ndani ukiacha ushuru wa Gari lenyewe?
 
Ndio, kisheria gari ni mzigo na ikiwekwa,ndani mzigo tofauti na gari hilo basi utalipia kodi. Ikiwa hutaki kulipa kodi basi fungua hizo tairi za zamani funga mpya kwenye hiyo gari ila hayo ya zamani utupe maana ni prohibited unless ziwe tairi za tractor.
 
Hajawahi kujiuliza kwanini waagiza haice kutoka japan hua wanazitoa viti vya abiria,gari inakuja empty then wakisha clear gari viti vinachomelewa huko garage.
 
Kwenye calcutor hiace zipo aina 3.
1. Station wagon, hii inalipa ushuru full kama vile ushuru wa passo au toyota rav4. Station wagon ni hiace yenye siti 9 kushuka chini hapa ndio wanapong'oa hizo siti sababu utaona chini
2. Hiace kama bus, hii nia ambayo ina seat 10 kupanda juu inapata unafuu wa kodi kidgo kwenye exise duty refer tra calculator, hivyo mtu akinunua gari akaona siti hazijafka 10 zipo tisa anaona bora ang'oe
3. Van, hizi ni kama gari za mizigo yaan kuna seat za dereva tu mbele afu nyuma kuna bench tu. Wakiona kuna seat 8 wanatoa ili iwe van kuna unafuu pia wa kodi.
 
Wadau kuna Gari nataka kuagiza kutoka Japan lakini ajenti ameniambia litakuja na tairi mpya zikiwa zimepakiwa ndani ya gari, sasa swali langu ni kwamba, Je kuna ushuru wa ziada kwa zile Tairi zilizopakiwa ndani ukiacha ushuru wa Gari lenyewe?
Sio tu kutakua na ushuru wa ziada pia kutakua na gharama za TBS kwa ajili ya kuzipima kama zinakizi ubora, mimi nikiwa kama wakala wa forodha (clearing agent) nakushauri kama idadi ya tairi ni chini ya 10 ni bora uachane nazo maana zitakusababishia gharama na usumbufu mkubwa.

Kwa huduma ya Clearing and Forwarding, utawasiliana nasi, tunafanya kazi kwa ufanisi, haraka na kwa bei nzuri.

S.A Link Traders Ltd (clearing & forwarding company).
2nd Floor-Elite City building,
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email mail: info@salink.co.tz
Mobile: +255718 866 651 (call or whatsapp)
Website: salink.co.tz
Facebook page: https://web.facebook.com/sakink2017/
 
Asante kwa ushauri mzuri
 
Kwenye calcutor hiace zipo aina 3.
1. Station wagon, hii inalipa ushuru full kama vile ushuru wa passo au toyota rav4. Station wagon ni hiace yenye siti 9 kushuka chini hapa ndio wanapong'oa hizo siti sababu utaona chini
2. Hiace kama bus, hii nia ambayo ina seat 10 kupanda juu inapata unafuu wa kodi kidgo kwenye exise duty refer tra calculator, hivyo mtu akinunua gari akaona siti hazijafka 10 zipo tisa anaona bora ang'oe
3. Van, hizi ni kama gari za mizigo yaan kuna seat za dereva tu mbele afu nyuma kuna bench tu. Wakiona kuna seat 8 wanatoa ili iwe van kuna unafuu pia wa kodi.
Duu hizi sheria za nchi hii utafikiri hakuna wasomi.. sheria za ajabu ajabu tena kichefu chefu kbs.. wenye dhamana hawana ubunifu wowote kazi kuumizana tu... Kwa style hii africa itachukua muda.. kwakweli..
 
Back
Top Bottom