Je tuendelee kuheshimu hukumu za mahakama zetu ? Kesi ya Lissu itatupa jibu

Je tuendelee kuheshimu hukumu za mahakama zetu ? Kesi ya Lissu itatupa jibu

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Kumekua na kelele nyingi kuhusu huu muhimili wa mahakama kupokea maelekezo kwenye kesi ambazo serikali inakua na interest .

Tuliona kwenye kesi ya Mbowe pamoja na kukutwa na kesi ya kujibu lakini akaibukia Ikulu.

Kwa hiyo mahakama unaweza kua muhimili ambao unatumika kama fimbo ya kuwachapia watu flani kwa interest za watu flani.

Mimi baada ya mahakama kuluhusu kujenga vibanda vya njiwa na chips ndani ya mahakama nilikosa imani na mahakama sheria ya shahidi wa kificho ilikuja baada ya Lissu kua mahabusu ndo ikatungwa.

Sasa hii kesi ya Lissu ni mtihani mkubwa kwenye huu muhimili wa mahakama ikifanya vinginevyo huu muhimili unaenda kuzikwa lasimi na wananchi kama ilivyo Bunge letu hukumu za mahakama zitaanza kuzalauliwa na wananchi huu ndo mda wa mahakama kujijengea heshima au kuimbomoa.
 
Hii kesi ya Lissu ni mwendelezo tu wa movie ile ile, picha lile lile sema stelingi ndio kabadilika.
 
Kumekua na kelele nyingi kuhusu huu muhimili wa mahakama kupokea maelekezo kwenye kesi ambazo serikali inakua na interest . Tuliona kwenye kesi ya Mbowe pamoja na kukutwa na kesi ya kujibu lakini akaibukia Ikulu. Kwa hiyo mahakama unaweza kua muhimili ambao unatumika kama fimbo ya kuwachapia watu flani kwa interest za watu flani. Mimi baada ya mahakama kuluhusu kujenga vibanda vya njiwa na chips ndani ya mahakama nilikosa imani na mahakama sheria ya shahidi wa kificho ilikuja baada ya Lissu kua mahabusu ndo ikatungwa. Sasa hii kesi ya Lissu ni mtihani mkubwa kwenye huu muhimili wa mahakama ikifanya vinginevyo huu muhimili unaenda kuzikwa lasimi na wananchi kama ilivyo Bunge letu hukumu za mahakama zitaanza kuzalauliwa na wananchi huu ndo mda wa mahakama kujijengea heshima au kuimbomoa.
Yes,
mahakama huru za Tanzania ni lazima sio hiyari zikakaheshimiwa na kila mTanzania.

Na in fact,
zitaendelea kufanya wajibu wake kwa weledi, uhuru na bila shinikizo za ndani au nje ya nchi.

well done mahakama huru za Tanzania 🐒
 
Mahakama za kuwaweka majaji na mahakimu mifukoni, haziwezi kuaminika kamwe.
 
Back
Top Bottom