Je, tuendelee kutilia mkazo watoto wetu kusoma masomo ya sayansi au tukomae na kukuza vipaji?

Je, tuendelee kutilia mkazo watoto wetu kusoma masomo ya sayansi au tukomae na kukuza vipaji?

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau!

Baada ya kimya kirefu leo vidole vimeniwasha nimeamua kuandika thread .

Nauliza tu je kuna ulazima kuwasisitiza watoto wetu kukomaa na masomo ya sayansi ambayo ki uhalisia yanaonekana kuwashinda wengi au tukomae na kuakikisha tunagundua vipaji vya watoto wetu ASAP(As Soon As Possible) na kuviendeleza,na kuwasapoti kwa kile wanachokimudu na kukiamini?

Naomba maoni yako?
 
Sayansi ni maisha Yetu ya kill siku
Kuna msemo unasema
SCIENCE SKILLS IS LIFE SKILLS

Science ni afya Yetu Kama mtoto ataimudu vizudi biology basi atajilinda na magonjwa ya akili na mwili
Hata Kama Ana kipaji lakini hawezi kuijali afya yake bado itakuwa shida

Kama mtoto wako ataimudu vizuri physics basi Kama Ana kipaji Cha muziki ujue physics iko kwwnye vyombo vya muziki na sauti hvyo atafanya vizuri zaidi

Ukija kwwnye umeme , fundi magari nk yote hyo NI physics

Kama Ana kipaji Cha mpira chem na biology inahusika

Kama mchoraji au make up artist basi chem na bios inahusika

Kwa kifuipi HAKUNA sehemu unaweza kuikwepa sayansi

Sayansi NI maisha Yetu ya kila siku kuanzia usingizi mpaka kuamka a shughuli zetu za kila siku

Bipaji NI bingi lakini vyote vinaitegemea elimu ya sayansi ili vidumu na vikue
 
Inabidi uangalie future ya sekta ya michezo na sanaa kwa kipindi hicho mtoto wako angali kijana itamkomboa kiuchumi?

Sayansi huwa anazeeka nayo mfano uinjinia,ufamasia,udaktari.Tofauti na michezo na sanaa huisha mapema umri.

Angalia pia vipaumbele vya mtawala mfano ilani ya ccm inasemaje?
Habari wadau..!!
Baada ya kimya kirefu leo vidole vimeniwasha nimeamua kuandika thread .

Nauliza tu je kuna ulazima kuwasisitiza watoto wetu kukomaa na masomo ya sayansi ambayo ki uhalisia yanaonekana kuwashinda wengi au tukomae na kuakikisha tunagundua vipaji vya watoto wetu ASAP(As Soon As Possible) na kuviendeleza,na kuwasapoti kwa kile wanachokimudu na kukiamini ???

Naomba maoni yako?
 
Nikupe mfanomdogo Sana
Fundi ujenzi NI lazima atumie sayansi Katika ujenzi was nyumba

Bios - madrisha ya nyumba I'll yaweze kuingiza hew ya kutosha

Chem - anapotumia cement rangi , tiles , gypsum no

Physics Katika uchimbaji was msingi umeme, mashimo ya choo nk

Walioziea sayansi shuleni watanielewa

HAKUNA sehemu utakimbia sayansi
 
Back
Top Bottom