Je, tuendelee kuwaamini wachezaji wa Simba pale stars?

Je, tuendelee kuwaamini wachezaji wa Simba pale stars?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Scouting ya wachezaji mtandaoni ni hatari sana. Kocha awali alichagua kikosi vizuri na alishinda bila shida kabisa.

Wachawi wa mpira wetu wakaanza oo nani kaachwa ni ushabiki maandazi kabisa. Nani hafahamu Hussein tshabalala alituchomesha CHAN hapa Dar, nani hajui Kapombe alituchomesha mara kibao?

Huu ushabiki mandazi Hadi kocha anaharibu game plan kwa kulazimika kuingiza maingizo yasiyokuwa na maana kabisa. Timu iliyoshinda angeiacha kwanza.

Solution

Mashabiki wa Simba mnasumbua sana Taifa hili na makelele yenu. Na kocha akiendelea hivi ndo mwisho wa safari yetu.
Prof. Nabi apewe timu

Je tuendelee kuwaamini wachezaji wa Simba ??
1679818424384.jpg
 
Wachambuzi walianzisha presha kwa kocha kuwa Zimbwe na Kapombe waitwe wameitwa Zimbwe kaomba sub halafu Kapombe kachoma
 
Bongo nyoso sana aisee , tifua tifua inatafuta kocha , kocha anakabidhiwa timu kisha kocha anapngiwa wachezaji Sasa huyo kocha wa nn , lazima tuendelee kuvurunda
[emoji1][emoji1] Sasa Kwann huyo head of tifua tifua asiwe head coach
 
huwa nasemaga humu tanzania mpira hamjui, ila kutwa kujiita wachambuzi uchwara, mnajadiligi humu as if mnajua ,kumbe maandazi matupu.najitia AIBU TU
 
Back
Top Bottom