Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Scouting ya wachezaji mtandaoni ni hatari sana. Kocha awali alichagua kikosi vizuri na alishinda bila shida kabisa.
Wachawi wa mpira wetu wakaanza oo nani kaachwa ni ushabiki maandazi kabisa. Nani hafahamu Hussein tshabalala alituchomesha CHAN hapa Dar, nani hajui Kapombe alituchomesha mara kibao?
Huu ushabiki mandazi Hadi kocha anaharibu game plan kwa kulazimika kuingiza maingizo yasiyokuwa na maana kabisa. Timu iliyoshinda angeiacha kwanza.
Solution
Mashabiki wa Simba mnasumbua sana Taifa hili na makelele yenu. Na kocha akiendelea hivi ndo mwisho wa safari yetu.
Prof. Nabi apewe timu
Je tuendelee kuwaamini wachezaji wa Simba ??