Walitusaidia kupata ushindi mechi iliyopita
[emoji1][emoji1] Sasa Kwann huyo head of tifua tifua asiwe head coachBongo nyoso sana aisee , tifua tifua inatafuta kocha , kocha anakabidhiwa timu kisha kocha anapngiwa wachezaji Sasa huyo kocha wa nn , lazima tuendelee kuvurunda
Vijana waneznguaMsilalamike sana bado mko nafasi ya pili kwa kutumia alphabet. Maana herufi T inatangulia herufi U [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Pld W D L GF GA GD Pts Qualification 1 Algeria (Q) 4 4 0 0 7 1 +6 12 Final tournament 2 Tanzania 4 1 1 2 2 4 −2 4 3 Uganda 4 1 1 2 2 4 −2 4 4 Niger 4 0 2 2 3 5 −2 2