Je, tuendelee kuwaamini wachezaji wa Simba pale stars?

Hizi ndizo akili halisi za Mitanzania. Hivi ndivyo Mitanzania ilivyo.
 
Tanzania kuna vipaji Bali tff wamefeli kuongoza Mpira , ivunjwe iteuliwe Kamati ya mpito kuongoza
 
Huwa unaandika upuuzi sana. Hapa alichomesha nani?
 

Attachments

  • Screenshot_20230329-205524.png
    35.9 KB · Views: 3
Unajua maana ya champions,angalia timu zilizoingia robo fainali na angalia zilizodondokea confederation baada ya kutokota champions league ni timu kali tupu
Kuna zingine zimeingia Kwa bahati mzee
 
Walosababisha goli ni Faisali, Baka na Job.

Na hii ni baada ya kutoka Mzamiru na Shabalala hawa ni simba na walikiwasha.
 
Walosababisha goli ni Faisali, Baka na Job.

Na hii ni baada ya kutoka Mzamiru na Shabalala hawa ni simba na walikiwasha.
Hapana....mabaliko ya kikosi yamechangia
 
Wachezaji wa Makolo wanatuharibia timu ya Taifa

Hilo liko wazi
 

MKUU HIVI AKILI YAKO INAFANYA KAZI VIZURI KABISA?????
 
Hapana....mabaliko ya kikosi yamechangia
Yeah, mabadiliko kwa maana ya substitution. Sub ilipofanyika na goli likaingia. Zimbwe na Muzamiru walipotolewa eti Job akaenda kati! Jibu la swali lako ni ndiyo, heri kocha angeendelea kuwaamini wachezaji wa Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…